ubabe sio deal

ubabe sio deal

chademaone

Member
Joined
Jan 11, 2014
Posts
9
Reaction score
0
"UBABE SIO DILI" Jamaa alinunua soda,kabla ya kuinywa,akaitazama kwa zaid ya dk 20.Mara akaja Baunsa akaichukua ile soda na kuinywa. Jamaa akanza kulia, Baunsa akamwambia usilie nitakulipa. Jamaa akajib hilo sio tatizo.Leo mi nina mikos tu, asubuh nimefukuzwa kazi,natoka nje ya ofis,gari langu imeibiwa,nafika nyumban mke wangu hanitak,nimenunua soda na kutia sumu ili nijiue wewe umeinywa kwa ubabe,jaman mi nina mkosi gani leo?.Baunsa chali na kuzimia!!
 
teh teh teeh.... baunsa na mavi yakamjaa kwenye chupi. chezea kifo wewe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom