Jameni tuache utani

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,884
49,035
Angalia Athari ya Utani:....

Jamaa Alikuwa Amekaa akitazama soda yake Kwa Zaidi ya DAKIKA 20.

Akaja Mtani Wake Mmoja Akaichukua soda, Akanywa yote!

Jamaa Akaanza Kulia.
Mtani Akamwambia, "Usilie Nilikutania tu, Nitakulipa."

Jamaa Akajibu: "Hilo Sio Tatizo, ila Leo ni Mikosi tu!
Asubuhi kazi Nimefukuzwa, Baada ya Kutoka Nje Gari yangu Imeibiwa, Kufika Kwangu Nakuta Ujumbe, Mke Wangu Kaondoka Hanitaki, Nimenunua hii soda na Kutia Sumu ili Nijiue .....Ww Umeinywa ???:.

Mtani 'Puu!' Chini, mara stroke mguu, mkono na mdomo upande Kwa Woga wa kufa.

KUMBE JAMAA Hakutia SUMU Naye Alikuwa ANAMTANIA tu .
??...Jamani utani huooo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom