Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,849
- 2,442
Walipe deni ndege yetu au yao maana wanaishia kuipanda wao tu.Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu wewe unafurahi, huu ni Uzalendo wa aina gani?. Kiukweli huu ni Uzalendo wa Ajabu Kabisa kuwahi...www.jamiiforums.com
P
Hili la kukamatwa ndege zetu mara kwa mara, wengi wetu hata wale tunaoamini ndio maguru wetu, wanalichukulia kisiasa sana badala ya kuangalia kwa upana zaidi, hasa kibiashara.Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu wewe unafurahi, huu ni Uzalendo wa aina gani?. Kiukweli huu ni Uzalendo wa Ajabu Kabisa kuwahi...www.jamiiforums.com
P
Nadhani hizi ndege ndiyo zimesababisha watumishi wa hali ya chini kutolipwa malimbikizo yao kwa wakati.Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu wewe unafurahi, huu ni Uzalendo wa aina gani?. Kiukweli huu ni Uzalendo wa Ajabu Kabisa kuwahi...www.jamiiforums.com
P
lipeni deni acheni usen..e..Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu wewe unafurahi, huu ni Uzalendo wa aina gani?. Kiukweli huu ni Uzalendo wa Ajabu Kabisa kuwahi...www.jamiiforums.com
P
Wametumia ground ipi ya kisheria kuikamata Ndege yetu.Mnataka tuwe wazalendo hadi kwenye dhuluma?
Yaani mnalia mkiomba sympathy kwa sababu ya tabia zenu za kutotii utawala wa sheria?
Kumbe tabia haina dawa, once an idiot, always an idiot ,mmezoea kuonea Wapinzani na kuwafanyia kila aina ya ubabe, sasa mmelewa na kudhani kila mtu ni wa kuonea tu, safari hii mmekwama kabisa .
Tatizo liko wapi? Kiburi cha kugoma kufuata utawala wa sheria tu?. Nyie si mnadaiwa bana? Lipeni deni no way!
Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne zote zilikuwa zikilipa hilo deni kwa awamu, serikali hii ya awamu ya Tano ikagoma kulipa na kumtimua Stern Tanzania .
Hii maana yake ni kwamba Stern angekuwa raia wa Tanzania asiye na uwezo wa kukimbilia popote na kujihifadhi angepotea Kama Azory Gwanda au Ben Saanane.
Kwa hiyo mmeonewa sana si ndiyo? Yaani hilo deni mmebambikwa tu na watu wenye wivu na maendeleo makubwa ya Tanzania, si ndiyo?
Acheni kulidhalilisha taifa zuri la Tanzania, mbona hata Marekani inadaiwa pamoja na utajiri wake? Nyie ni nani hadi msidaiwe?
Yaani mnaandamana ili kupinga kudaiwa? Kwa sababu mmepanga kudhulumu, mkiitwa shithole mnakuja juu kwa hasira .
South Africa mliweza kucheza sarakasi lakini kwa Canada mmekwama, lipeni deni la watu mtutolee hii fedheha .
Uzalendo siyo kudhulumu haki ya mtu.
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu wewe unafurahi, huu ni Uzalendo wa aina gani?. Kiukweli huu ni Uzalendo wa Ajabu Kabisa kuwahi...www.jamiiforums.com
P
Hujitambui. Na wala hunafamilia, pengine hutaweza kuwa nayo.Uzalendo hauna uhusiano wowote na wizi au dhuluma
Bro hivi nikija kwako kukuibia ni uzalendo au ?Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu wewe unafurahi, huu ni Uzalendo wa aina gani?. Kiukweli huu ni Uzalendo wa Ajabu Kabisa kuwahi...www.jamiiforums.com
P
husikii wanasema serikali ya magufuli,yaani wamepokonya mamlaka ya wananchi,kila.kitu chema ni chake na kibaya tunatakiwa kusimama wote.Huwa nasikia waswahili wanasema, adui yako muombee njaa, nadhani wanaofurahia ni wale wanaye muombea Rais Magufuli njaa.
Ndege ni zao au zetu? Huwa naona kila zikija wanachama wa ccm ndio hualikwa, nahisi hawa ni zao, sasa wale wanaokosa mualiko nadhani ndio hufurahia.
Haya mambo ya jinsi gani watu wanapokea nadhani yako binafsi sana, hata wanaofurahia au kushangilia mtanange huu hawabadili chochote, the fact kwamba tunadaiwa.
Nadhani wangelipa tu ili kuondokana na fedheha hii.
janga la kujitakia.Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu wewe unafurahi, huu ni Uzalendo wa aina gani?. Kiukweli huu ni Uzalendo wa Ajabu Kabisa kuwahi...www.jamiiforums.com
P
My Son drink water, Kuna baadhi ya mitazamo huondoa credit kwa wapinzani
Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu wewe unafurahi, huu ni Uzalendo wa aina gani?. Kiukweli huu ni Uzalendo wa Ajabu Kabisa kuwahi...www.jamiiforums.com
P
Mkuu inafika mahala unafiki haulipi.Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu wewe unafurahi, huu ni Uzalendo wa aina gani?. Kiukweli huu ni Uzalendo wa Ajabu Kabisa kuwahi...www.jamiiforums.com
P
Tukilipa nyie mtakosa kipindi cha kusherehekea sasa. Kwa sasa ndio kipindi chenu cha ku celebrate majirani zetu.mlipeni mkulima dhulumat nyinyi !
View attachment 1270734
Mbona mmekuwa wazalendo kwa mbowe japo anadhulumu ruzuku ya chadema na fomu mmemlipia agombee tena.Uzalendo hauna uhusiano wowote na wizi au dhuluma
Bloody idiot!!Pascal Mayalla,
My brother pascall, we were not happy coz of our plane being detained in south africa, no no no, we were happy coz this awamu ya tano thinks that they are clever than even God himself, if you see a president who kills, orders 37 bullets to be pumped into an opposition mp, orders the military to buy korosho yet korosho is nowhere near things like rockets, sumarines or fighter jets,a president who denies people right to express themselves, what else do you expect from the majority of those who such a dictator president is opressing??? i can tell you pascal my brother for free, lots of us will be more than happy if God sends this person(you know who i am talking abaut) to hell fire where he RIGHTFULLY BELONGS, nice weekend bro
Hatuwezi kuwa wamoja kwenye tabia za hovyo za kudhulumu mali na haki za watu wengine.Japo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako
Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?
Wanabodi, Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu wewe unafurahi, huu ni Uzalendo wa aina gani?. Kiukweli huu ni Uzalendo wa Ajabu Kabisa kuwahi...www.jamiiforums.com
P
Mimi nashauli kwamba huyo Prof Kabudi aliyetangaza hizi habari za kukamatwa kwa hiyo ndege apigwe tu risasi hadharani Kama Tundu Lissu, sisi ni donor country tuwaachie hiyo ndege tununue zingine hata tano Kama hiyo kwa cash.Mnataka tuwe wazalendo hadi kwenye dhuluma?
Yaani mnalia mkiomba sympathy kwa sababu ya tabia zenu za kutotii utawala wa sheria?
Kumbe tabia haina dawa, mmezoea kuonea Wapinzani na kuwafanyia kila aina ya ubabe, sasa mmelewa na kudhani kila mtu ni wa kuonea tu, safari hii mmekwama kabisa .
Tatizo liko wapi? Kiburi cha kugoma kufuata utawala wa sheria tu? Nyie si mnadaiwa bana? Lipeni deni no way!
Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne zote zilikuwa zikilipa hilo deni kwa awamu, serikali hii ya awamu ya tano ikagoma kulipa na kumtimua Stern Tanzania.
Hii maana yake ni kwamba Stern angekuwa raia wa Tanzania asiye na uwezo wa kukimbilia popote na kujihifadhi angepotea kama Azory Gwanda au Ben Saanane.
Kwa hiyo mmeonewa sana si ndiyo? Yaani hilo deni mmebambikwa tu na watu wenye wivu na maendeleo makubwa ya Tanzania, si ndiyo?
Acheni kulidhalilisha taifa zuri la Tanzania, mbona hata Marekani inadaiwa pamoja na utajiri wake? Nyie ni nani hadi msidaiwe?
Yaani mnaandamana ili kupinga kudaiwa? Kwa sababu mmepanga kudhulumu, mkiitwa shithole mnakuja juu kwa hasira.
South Africa mliweza kucheza sarakasi lakini kwa Canada mmekwama, lipeni deni la watu mtutolee hii fedheha.
Uzalendo sio kudhulumu haki ya mtu.
Kazi kuitia aibu Tanzania, sasa dunia nzima tena, hivi huyu Magufuri anavyakataa kumlipa huyo mkulima kwani analipa hela za mfukoni kwake.Wakati huu angekuwa analia na kusaga meno; lakini 'wazalendo' wangekuwa wanajipongeza sana kwa kumkomesha.
Unakumbuka "Lissu alivyotelekeza Jimbo na wapiga kura wake"? Huyu Stern naye angekuwa amekwishatungiwa mizengwe yake ili 'wanyonge' waone serikali inavyowapigania. Na kwa vile ni 'Beberu' hadithi zingekorezwa sawa sawa na wananchi wasingepata shida kutambua kazi kubwa inayofanywa na serikali yao.