Ubabaishaji unaoendelea juu ya wapi yawe makao makuu ya wilaya ua Kilombero badala ya Ifakara, ni hujuma dhidi ya rais wetu mpendwa

jimbo la mlimba

New Member
Oct 29, 2019
1
0
mh rais amekuwa akizitika taasisi mbalimbali za uma kusogeza huduma zao karibu na wananchi badala ya kukaa mijini,ambapo baadhi ya maeneo yamekuwa mgumu kwa wananchi kuzifikia huduma kutokana umbali mrefu.Halmashauri ya kilombero ni miongoni mwa halmashauri ambayo serikali kupitia kwa waziri wa tamisemi alitoa agizo kwa mkurugenzi wa halmashauri hiyo kuhamisha makao makuu ya halmashauri hiyo na kiipeleka inje ya ifakara,sababu mojawapo ni kuwepo kwa halmashauri hiyo ya wilaya na mamlaka ya mji mdogo wa ifakara sehemu moja,kingine ni jiographia ya eneo husika ambalo hupelekea wananchi wa maeneo ya mbali kwa mfano mlimba,utengule,chita na mngeta kulazimika kusafiri umbali mrefu kufuata huduma za kiofisi.makubaliano ya awali yalifikiwa makao makuu ya wilaya yawe mngeta na kikao cha kwanza cha balaza la madiwani kimafanyika hapo,na maene ya wapi ofisi ziwepo yalishafafikiwa muwafaka,lakini sintofahamu imetokea ghafla na wilaya hiyo keendelea kubaki ifakara,hali ambayo imeleta mkanganyiko mkubwa na sintofahamu kwa wananchi.Rai tunakuomba mh Jaffo kama msaidizi wa rais na waziri mwenye dhamana kuingilia kati swala hili ili dhamira ya ya mh rais wetu iweze kutimia.
 
Kwani hawakuamua kwa kura?

Kama walifanya hivyo basi jifunze kupokea maamuzi ya wengi hata kama huyakubali
 
Acha ujinga wewe mpogoro .Unataka makao makuu yahame town yapelekwe Bush .jinga kabisa kwani hizo ofisi kuwa sehemu moja kuna shida gani.Mkuu wa wilaya ya kinondoni yupo magomeni na meya yupo magomeni Baraza la madiwani ni serikali za mitaa inayoanzia kwa wananchi na mkuu wa wilaya serikali imeanzia kwa Rais. Wananchi wengi wapo town unataka warudi mngeta kufuata huduma? .Kwanza wananchi wanataka huduma bora Ifakara ni centre ya wilaya zote na ndipo kwenye huduma zote.Posta,benki,soko kubwa stendi kubwa ya kwenda mikoa mingine ,hotel kubwa viwanja vya michezo nk.sasa wewe unataka wilaya ihame ili iweje.Makao makuu yabakie ifakara milele yote .Tunafahamu Ifakara karibu itatangazwa kuwa manispaa lakini kuwa manispaa haimaanishi inatakiwa huduma za mkuu wa wilaya zihame Bali ndiyo zinahitajika zaidi. Sasa wewe mpogoro wacha kelele.
 
Acha ujinga wewe mpogoro .Unataka makao makuu yahame town yapelekwe Bush .jinga kabisa kwani hizo ofisi kuwa sehemu moja kuna shida gani.Mkuu wa wilaya ya kinondoni yupo magomeni na meya yupo magomeni Baraza la madiwani ni serikali za mitaa inayoanzia kwa wananchi na mkuu wa wilaya serikali imeanzia kwa Rais. Wananchi wengi wapo town unataka warudi mngeta kufuata huduma? .Kwanza wananchi wanataka huduma bora Ifakara ni centre ya Tarafa zote zote na ndipo kwenye huduma zote.Posta,benki,soko kubwa stendi kubwa ya kwenda mikoa mingine ,hotel kubwa viwanja vya michezo nk.sasa wewe unataka wilaya ihame ili iweje.Makao makuu yabakie ifakara milele yote .Tunafahamu Ifakara karibu itatangazwa kuwa manispaa lakini kuwa manispaa haimaanishi inatakiwa huduma za mkuu wa wilaya zihame Bali ndiyo zinahitajika zaidi. Sasa wewe mpogoro wacha kelele.
 
Back
Top Bottom