Hiyo simu toleo la zamani sijui kama spare bado wanatengeneza? Naiamini phantom miniZ ilipigwa fimbo na ndugai bado ikaendelea kurecord matukio kama kawaida na ikaserve yenyewe.
Mkuu ulinunua feki hiyo,mi H5 yangu nilinunua kariakoo na nikaiprove kama ni original na kila siku najiuliza nitanunua tena lini simu maana haina dalili hata ya kuharibika