We need separation of church/ religion and state, in practice.
Not this lip service bullshit we see.
Can you stay away from this "bullshit" please?
Hakuna mkuu wa kanisa Katoliki Tanzania, kuna wakuu wa majimbo ambao ni maaskofu lakini MKUU hayupo. Pengo hajawahi kuwa MKUU WA KANISA KATOLIKI TZ ingawa hata hivyo hajawahi kukanusha pamoja na kuwa wanahabari wanamuita hivyo kimakosa, may be anapenda UKUBWA. Anaweza kuwepo msemaji ambaye ni rais wa TEC. Lakini tamko lolote la Ukatoliki sharti lisainiwe na MAASKOFU WAKATOLIKI WOTE nchini wala siyo mmoja!!!Kwa maana hiyo mkuu wa Kanisa katoliki Tz ni nani hasa?
Nina hakika hujaisoma hii thread wala usingeleta huu u.pupu wako. Wavivu sana wakusoma nyie au ulitaka uwekewe picha katika hili? Soma kitu kizima wewe!!!!
Nina hakika hujaisoma hii thread wala usingeleta huu u.pupu wako. Wavivu sana wakusoma nyie au ulitaka uwekewe picha katika hili? Soma kitu kizima wewe!!!!
Uwing wa waislam ndo nini?mkasome mpate sifa za kushika hzo nafasi.mbona walosoma wapo katka nafas nzur. Shule hamtak mmekalia kulalama tu.
Tahadhari "usithubutu ku-quote uzi huu" kamwe.
Kanisa katoliki halina mkuu kwa tanzania... Ngalalekutwa ni mwenyekiti wa baraza la maaskofu tu.. In short kila askofu ni mkuu kwa jimbo lake tu, Kama ilivyo Kwa Pengo mamlaka yake yaniashia Dar es salaam tu, akishavuka kiluvya hana mamlaka yeyote kikanisa kwa mkoa wa pwanikwa sasa mkuu wa kanisa katoliki Tz ni mhashamu baba askofu T Ngalalekumtwa