The Evil Genius JF-Expert Member Mar 21, 2014 5,464 17,303 Jul 7, 2016 #1 Angalia,hii nimeitoa facebook, mtoto mdogo kama huyu anachezea mashine kama hii. Waarabu akili zao kuna mtu anazimiliki.
Angalia,hii nimeitoa facebook, mtoto mdogo kama huyu anachezea mashine kama hii. Waarabu akili zao kuna mtu anazimiliki.
Tenno JF-Expert Member Apr 7, 2016 323 157 Jul 7, 2016 #3 The Unknown said: Angalia,hii nimeitoa facebook, mtoto mdogo kama huyu anachezea mashine kama hii. Waarabu akili zao kuna mtu anazimiliki. View attachment 363754View attachment 363755View attachment 363756 Click to expand... Kwa hiyo hutaki amiliki silaha,c kwao kwani ni kwenu.acha umbea kwny nchi za watu
The Unknown said: Angalia,hii nimeitoa facebook, mtoto mdogo kama huyu anachezea mashine kama hii. Waarabu akili zao kuna mtu anazimiliki. View attachment 363754View attachment 363755View attachment 363756 Click to expand... Kwa hiyo hutaki amiliki silaha,c kwao kwani ni kwenu.acha umbea kwny nchi za watu
kizaizai JF-Expert Member Mar 31, 2010 5,342 6,495 Jul 7, 2016 #4 Hata sisi tunazo, Hirizi zinazo pumua na Chale kwenye miili yetu ni silaha tosha, tukisaidiwa na Misukule.
Hata sisi tunazo, Hirizi zinazo pumua na Chale kwenye miili yetu ni silaha tosha, tukisaidiwa na Misukule.
samsun JF-Expert Member Feb 9, 2014 7,386 5,954 Jul 7, 2016 #5 Achana na mitoi hiyo,ona vitu vyenyewe.
vollies JF-Expert Member May 31, 2015 748 446 Jul 7, 2016 #6 Samahani uncle jambazi shkamoo za adubui
Mr Hero JF-Expert Member Jun 11, 2015 5,542 7,450 Jul 7, 2016 #7 hapo mwarabu yuko wapi? hao naona watoto wa kipakistan na afghanistan tu,jifunze kutofautisha asili