Uarabuni mtoto kumiliki silaha kama hii ni kawaida

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,897
19,078
Angalia,hii nimeitoa facebook, mtoto mdogo kama huyu anachezea mashine kama hii.
Waarabu akili zao kuna mtu anazimiliki.
uploadfromtaptalk1467872911927.png
uploadfromtaptalk1467872924551.png
uploadfromtaptalk1467872938866.png
 
Hata sisi tunazo, Hirizi zinazo pumua na Chale kwenye miili yetu ni silaha tosha, tukisaidiwa na Misukule.
 
hapo mwarabu yuko wapi? hao naona watoto wa kipakistan na afghanistan tu,jifunze kutofautisha asili
 
Back
Top Bottom