Uapishaji wa mawaziri

yeah, cha kushangaza ni jinsi JF ilivyopotezea huo uapishwaji... unbelievable... watu wakikuchoka, wanachoka vibaya mno aisee
 
yeah, cha kushangaza ni jinsi JF ilivyopotezea huo uapishwaji... unbelievable... watu wakikuchoka, wanachoka vibaya mno aisee

Kwani imekuwaje? Kuna tofauti gani this time? Wengine hatuoni..
 
Bahati mbaya niko mbali na luninga. SAMUEL SITTA ameapa? Kumekuwa na tetesi nyingi kuwa Sitta atasusia cheo cha Waziri wa EAC alichopewa na Kikwete...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom