Uandishi uchwara!

huyu bwana mbona haeleweki?
ukisoma vizuri hivyo vichwa vya habari utagundua kama vinajichanganya!kingine kinaonyesha tff umesalimu amri!kingine serikali ndo imesalimu amri na mwisho inaonekana ngoma drooo!!haikushangazi wewe hiyo!!!
 
kweli waandishi njaa
 
Nashauri kama kuna mdau anayeweza atubandikie hapa ile original press release iliyotolewa na TFF jumatano machi 20, wadau muisome kisha mtajua nini hasa kilimaanishwa.
Salaam zenu toka Bwanjai, Kiziba,anayetaka nimletee senene aseme!
 
mkuu hebu nijaalie hiyo kitu bana. Nimeimiss sana tangu nitoke lake zone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…