Mwita25
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 3,831
- 1,164
Unakuta mtu ana digrii ya uandishi lakini anaishia kuwa mtangazaji wa kipindi cha watoto redioni. Hii ni tofauti na fani zetu za kiume ambapo hata mtu mwenye diploma ya medicine anakabidhiwa kituo chake cha kutoa huduma. Kiukweli, uandishi na utangazaji ni kazi zinazowapendeza sana wanawake kwasababu wao hawana cha kupoteza.