Uandishi mwendokasi

Uandishi mwendokasi

1465703804997.jpg
 
Duh...Hili ni gazeti la uhuru!!!!!!!!!!???????????? Gazeti ambalo lilikuwa 'Chuo cha Waandishi wa habari' nchini!!!!!!!???????Duh, That is too low...anyway haya ndiyo matokeo kwa 'yaliyotokea'..." aaaaaaaaaaaaah, Mungu wangu...
tatiz0 mwend0 kasi
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Breaking news ya habari za hivi punde
 
Wasemeheni wanatumia keyboard ya android... so inajitype yenyewe.... wakiizoea mambo yatakuwa poa waziri atakuwa waziri na raisi anatua raisi...
 
Mi nadhan kamdhalilisha huyo Mama Prof Ndalichako. Huwezi mfananisha na JPM hata kidogo
 
Mi nadhan kamdhalilisha huyo Mama Prof Ndalichako. Huwezi mfananisha na JPM hata kidogo
Hasa jinsia[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Hapo juu halikuwa kosa la mwandishi. Ni kosa la msanifu kurasa na mhariri
 
Back
Top Bottom