Binafsi mwaka 2015 nilijiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na kufanikiwa kupata kitambulisho cha mpiga kura ambacho ninacho hadi saa hii.
Sasa naomba kufahamishwa kwa mwaka huu, ni lazima nijiandikishe tena ili nipate kitambulisho kingine au taarifa zangu zilezile za awali na kitambulisho changu vinatosha kuwa Raia stahiki kwa kupiga kura mnamo mwezi oktoba mwaka huu?
Kama unacho kitunze haina haja ya kujiandikisha mara mbili.
Labda kama umehama mji tofauti na ulipojiandikishia..Au kama unahitaji kumpigia kura mbunge au diwani wa uko ulipoamia..Kama ni kuchagua Rais tu utapigia mkoa wowote kula
Nilijiandikisha mwanza na Sasa nipo dar ,ila Sina kabisa mpango was kwenda kupiga kura maana nilishapiga kura toka 1995 enzi za mrema na nikasukuma gari lake =-OB-) kwa Sasa sioni umuhimu Tena nawaachia vijana