• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura uko vipi mwaka huu

  • Thread starter Shombe la Kisomali
  • Start date
Shombe la Kisomali

Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Messages
3,503
Points
2,000
Shombe la Kisomali

Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2017
3,503 2,000
Binafsi mwaka 2015 nilijiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na kufanikiwa kupata kitambulisho cha mpiga kura ambacho ninacho hadi saa hii.

Sasa naomba kufahamishwa kwa mwaka huu, ni lazima nijiandikishe tena ili nipate kitambulisho kingine au taarifa zangu zilezile za awali na kitambulisho changu vinatosha kuwa Raia stahiki kwa kupiga kura mnamo mwezi oktoba mwaka huu?
 
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
8,261
Points
2,000
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
8,261 2,000
Sijui uandikishaji upo wapi ila huku Arusha tumeandikisha tayari. Kuandikisha upya/ ku update sio lazima.

Ila kama umehama kituo, au kitambulisho kimechakaa au picha haiko sawa au majina unaweza update taarifa na ukapata kipya.

Asante
 
ISACOM

ISACOM

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2009
Messages
293
Points
225
ISACOM

ISACOM

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2009
293 225
Kama unacho kitunze haina haja ya kujiandikisha mara mbili.

Labda kama umehama mji tofauti na ulipojiandikishia..Au kama unahitaji kumpigia kura mbunge au diwani wa uko ulipoamia..Kama ni kuchagua Rais tu utapigia mkoa wowote kula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
12,027
Points
2,000
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
12,027 2,000
Nilijiandikisha mwanza na Sasa nipo dar ,ila Sina kabisa mpango was kwenda kupiga kura maana nilishapiga kura toka 1995 enzi za mrema na nikasukuma gari lake =-OB-) kwa Sasa sioni umuhimu Tena nawaachia vijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shombe la Kisomali

Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Messages
3,503
Points
2,000
Shombe la Kisomali

Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2017
3,503 2,000
Sijui uandikishaji upo wapi ila huku Arusha tumeandikisha tayari. Kuandikisha upya/ ku update sio lazima.

Ila kama umehama kituo, au kitambulisho kimechakaa au picha haiko sawa au majina unaweza update taarifa na ukapata kipya.

Asante
Asante pia kwa ufafanuzi
 
Shombe la Kisomali

Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Messages
3,503
Points
2,000
Shombe la Kisomali

Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2017
3,503 2,000
Kama unacho kitunze haina haja ya kujiandikisha mara mbili.

Labda kama umehama mji tofauti na ulipojiandikishia..Au kama unahitaji kumpigia kura mbunge au diwani wa uko ulipoamia..Kama ni kuchagua Rais tu utapigia mkoa wowote kula

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu
 

Forum statistics

Threads 1,402,964
Members 531,034
Posts 34,410,642
Top