Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,383
- 5,509
Binafsi mwaka 2015 nilijiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na kufanikiwa kupata kitambulisho cha mpiga kura ambacho ninacho hadi saa hii.
Sasa naomba kufahamishwa kwa mwaka huu, ni lazima nijiandikishe tena ili nipate kitambulisho kingine au taarifa zangu zilezile za awali na kitambulisho changu vinatosha kuwa Raia stahiki kwa kupiga kura mnamo mwezi oktoba mwaka huu?