Uandikishaji BVR Osunyai Arusha

Uandikishaji BVR Osunyai Arusha

tume ya uchaguzi hawakujipanga vizuri kwa zoezi la uandikishaji. iweje network isumbue arusha?
 
KUHUSU idadi ya vituo vilivyopo jana mmeisifia sana Tume mkisema imejipanga vizuri leo zoezi limeanza mnaanza kugeuka wanadamu wengine kama Mazimwi vile!
 
Nyie ndo mnazingua,umeamua kwenda kujiandikisha tulia uandikishwe technical problems huwa zinatokea!
we kinje kuwa makini zoezi hili lina umuhimu sana kitaifa na kwa wananchi pia limebeba taswira ya taifa ,inapotokea mtu ,watu ,kikundi wanaleta fujo eneo ambalo diwani wake ni kutoa chama hasimu na ccm ,hapa wanachadema lazima watafakari kwa makini.usilete utani hapa kwenye bvr,hata kama lipo unalojua kukaa kimya ni busara pia .haya ni masuala ya kitaifa wananchi wana sababu ya kuhoji kwanini hakuna network ,tume haijajipanga na TTCL ,kuwa wanaenda kufanya kazi ya kitaifa iweje network ikosekane,lazima wahoji
 
Mkuu ushirikiano ni muhimu kati ya wananchi na watendaji wa Bvr, taarifa imekuja network hairespond then wananchi wanareact na kuprovoke eti CCM wameanza kuhujumu zoezi hiyo siyo sawa,hao CDM kwanza wajitambue, tatizo siasa inawatafuna na kwa mtaji huo subiri utaona wataishia kupigwa mabomu na kutoka manundu kwa uzenmbe na ushabiki wa kijinga!
 
Umewahi kuona MBUZI akicheza dansi?Kama hapana kwanini kumpigia MBUZI gitaa wakati hatacheza?Kaka yangu mpenda huyu ni kati ya wale waliopewa kazi moja tu kuharibu mijadala ya kitaifa......Usipoteze nguvu wala muda wako jipitie tu......

Tunaohitaji elimu ndiyo wamuhimu kuliko hawa wanaodhani Baba na babu zao watatawala maisha huku wakiachiana madaraka..........

Siumeona hata wewe mwenyewe baada ya Karume,eti wanamleta wa Nyerere..........
 
mkuu usiende kuhukumu kwanza rudi kwenye mada,network hii chanzo chake ni TTCL hawa wana satelite ,huratibu wapi network ina shida wapi pana tatizo narudia msilete utani kwa suala la kitaifa .tuna tume nyembamba . inapewa maelekezo badala ya kuamua yenyewe kama tume ,usiwe sehemu ya tatizo .
 
Ha ha ha kampeni kichaa ha hueleweki unaweweseka tu, umeshindwa mapigo kimbia sio size yako waachie wengine wachangie! Pole mkuu ukikua utaacha kutoa dua la kuku lisilokua na impact kwa mwewe!
 
mkuu usiende kuhukumu kwanza rudi kwenye mada,network hii chanzo chake ni TTCL hawa wana satelite ,huratibu wapi network ina shida wapi pana tatizo narudia msilete utani kwa suala la kitaifa .tuna tume nyembamba . inapewa maelekezo badala ya kuamua yenyewe kama tume ,usiwe sehemu ya tatizo .

Mkuu usipoteze mwelekeo Arusha sio ya kwanza kuandikishwa!kuna mikoa na wilaya watu wamekwisha andikishwa!Acha siasa zitakumeza,nimekuambia tatizo la network kusumbua halihusiani na CCM kama unaamini hivyo una matatizo,vurugu sio mpango matokeo yake mtayaona muda sio mrefu nyie endeleeni tu then mtapata dozi yenu!
 
Back
Top Bottom