Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Mtu kavaa mavazi ya CDM afu ana kadi ya CCM anavuruga zoezi huyo ni kibaka wa Demokrasia apigwe tu!
Mbilingondo Tulishayajua hayo ya ccm tupo tayari kuwadhibiti
Mtu kavaa mavazi ya CDM afu ana kadi ya CCM anavuruga zoezi huyo ni kibaka wa Demokrasia apigwe tu!
Mbilingondo Tulishayajua hayo ya ccm tupo tayari kuwadhibiti
Toa mchango wako kisha pita zako, huwezi stay back!
Wanafanya mizengwe ya kila namna, lakini lazima tujiandikishe!
Hizi ID za Lumumba zina matatizo sana,bk 7 tu zitawatoa roho
Hizi ID za Lumumba zina matatizo sana,bk 7 tu zitawatoa roho
tume ya uchaguzi hawakujipanga vizuri kwa zoezi la uandikishaji. iweje network isumbue arusha?
...Mkuu kanatafuta hela za kula mihogo pale nje Lumumba karibu na mahakama....
Acha kujilisha upepo dogo kama umeshindwa kuvumilia na kukaa kwenye mstari si uondoke au huna kwenu?
we kinje kuwa makini zoezi hili lina umuhimu sana kitaifa na kwa wananchi pia limebeba taswira ya taifa ,inapotokea mtu ,watu ,kikundi wanaleta fujo eneo ambalo diwani wake ni kutoa chama hasimu na ccm ,hapa wanachadema lazima watafakari kwa makini.usilete utani hapa kwenye bvr,hata kama lipo unalojua kukaa kimya ni busara pia .haya ni masuala ya kitaifa wananchi wana sababu ya kuhoji kwanini hakuna network ,tume haijajipanga na TTCL ,kuwa wanaenda kufanya kazi ya kitaifa iweje network ikosekane,lazima wahojiNyie ndo mnazingua,umeamua kwenda kujiandikisha tulia uandikishwe technical problems huwa zinatokea!
mtandao wa tigoduuu...hizi mashine hivi zinatumia mtandao gani ?
we kinje kuwa makini zoezi hili lina umuhimu sana kitaifa na kwa wananchi pia limebeba taswira ya taifa ,inapotokea mtu ,watu ,kikundi wanaleta fujo eneo ambalo diwani wake ni kutoa chama hasimu na ccm ,hapa wanachadema lazima watafakari kwa makini.usilete utani hapa kwenye bvr,hata kama lipo unalojua kukaa kimya ni busara pia .haya ni masuala ya kitaifa wananchi wana sababu ya kuhoji kwanini hakuna network ,tume haijajipanga na TTCL ,kuwa wanaenda kufanya kazi ya kitaifa iweje network ikosekane,lazima wahoji

mkuu usiende kuhukumu kwanza rudi kwenye mada,network hii chanzo chake ni TTCL hawa wana satelite ,huratibu wapi network ina shida wapi pana tatizo narudia msilete utani kwa suala la kitaifa .tuna tume nyembamba . inapewa maelekezo badala ya kuamua yenyewe kama tume ,usiwe sehemu ya tatizo .Mkuu ushirikiano ni muhimu kati ya wananchi na watendaji wa Bvr, taarifa imekuja network hairespond then wananchi wanareact na kuprovoke eti CCM wameanza kuhujumu zoezi hiyo siyo sawa,hao CDM kwanza wajitambue, tatizo siasa inawatafuna na kwa mtaji huo subiri utaona wataishia kupigwa mabomu na kutoka manundu kwa uzenmbe na ushabiki wa kijinga!
Umewahi kuona MBUZI akicheza dansi?Kama hapana kwanini kumpigia MBUZI gitaa wakati hatacheza?Kaka yangu mpenda huyu ni kati ya wale waliopewa kazi moja tu kuharibu mijadala ya kitaifa......Usipoteze nguvu wala muda wako jipitie tu......
Tunaohitaji elimu ndiyo wamuhimu kuliko hawa wanaodhani Baba na babu zao watatawala maisha huku wakiachiana madaraka..........
Siumeona hata wewe mwenyewe baada ya Karume,eti wanamleta wa Nyerere..........
mkuu usiende kuhukumu kwanza rudi kwenye mada,network hii chanzo chake ni TTCL hawa wana satelite ,huratibu wapi network ina shida wapi pana tatizo narudia msilete utani kwa suala la kitaifa .tuna tume nyembamba . inapewa maelekezo badala ya kuamua yenyewe kama tume ,usiwe sehemu ya tatizo .
Nyie ndo mnazingua,umeamua kwenda kujiandikisha tulia uandikishwe technical problems huwa zinatokea!
Umeruhusu akili ndogo ikutawale!