Uandikishaji BVR Osunyai Arusha

Uandikishaji BVR Osunyai Arusha

Uzuri JF siyo ya Baba yako Nor ya Babu yako,nina haki ya kucomment mawazo yangu bila kuingiliwa na Wa-Pu-Mba-vu kama wewe............

Kama unalielewa hilo mbona unaanza kuweweseka asubuhi na povu linakutoka tukana tu ukimaliza ukalale!
 
Hapa ndio wengi tunapotatizwa na kuingiwa na shaka.....kusuasua au kasoro lukuki za uandikishaji wa wapiga kura kuna faida gani kwa CCM? Nachojua ni kwamba kama zoezi litaenda kombo na watu wenye haki ya kuandikishwa wakaachwa kwa sababu ya mapungufu ya vifaa na waandikishaji, wapo wa-CCM, wa-CHADEMA, wa-CUF na wasio na vyama wataoachwa sasa iwaje washabiki wa CCM watetee au wafurahie?

Hiyo ndiyo kansa inayowatafuna mpaka kwenye registration mnaweka siasa!daa kweli mnahitaji ukombozi kwenye vichwa vyenu!
 
ivi we domo chafu tatizo nini hapo kwenye uzi.technical problems si ndo kuzingua kwenyewe.na mkileta us.enge huko Arusha mtabutuliwa,

Mkuu inaelekea umelewa asubuhi hii, hayo sio maneno yako na hapo ukute ni mtu mwenye heshima lakini kinachokutoka ni povu ndo maana mnafanya vurugu kituoni mmekutana wote mazombi unategemea nini, tofauti ni mahali pa kulala tu!
 
...Mkuu achananaye huyo kipuku

Huwa sipendi kumjibu lakini nilitaka kumpa angalizo tu kuwa si yeye,baba yake au baba yake ana hisa JF..........Na kutoa comment hakulazimishwi kama yeye anatoa pumba aendelee lakini asitukoseshe haki tunaohitaji mawazo mbadala ya kuhoji,kupinga au kuongezea nyama kwenye hoja,siyo kutukana kudhalilisha wala kufunga mawazo ya wengine..

Humu Vijana wengi wa CCM wanaingia kwa nia moja tu ya kuudhi watu wengine......Sipendi kuwajibu sababu naona nawaongezea promo wasiyokuwa nayo...Yaani kuna wengine akili zao utadhani zimeondelewa MARINDA
 
Wanatumia Tigo

Kaka Mwenyekiti Judge Lubuva yuko Naive mno sielewi kama haelewi kuwa anafanyiwa HUJUMA na hawa wa chini yake.........Na kama anafanya makusudi basi nina wasiwasi na TAALUMA yake kama anaitendea HAKI.........Unless atuambie Mwaka 2015 hakuna uchaguzi kwa dalili ninazoziona sijui kama kunauchaguzi mwaka huu.........
 
Huwa sipendi kumjibu lakini nilitaka kumpa angalizo tu kuwa si yeye,baba yake au baba yake ana hisa JF..........Na kutoa comment hakulazimishwi kama yeye anatoa pumba aendelee lakini asitukoseshe haki tunaohitaji mawazo mbadala ya kuhoji,kupinga au kuongezea nyama kwenye hoja,siyo kutukana kudhalilisha wala kufunga mawazo ya wengine..

Humu Vijana wengi wa CCM wanaingia kwa nia moja tu ya kuudhi watu wengine......Sipendi kuwajibu sababu naona nawaongezea promo wasiyokuwa nayo...Yaani kuna wengine akili zao utadhani zimeondelewa MARINDA

.....

.....katoto hako bado kana nyonya kameingia jf na mihemko kweli kweli ...Pamoja Mkuu
 
Naona wanaringia ufisadi na rushwa zilizoletwa na wazazi...........Ila kuna siku watalia na kusaga meno.KUna wengine watajutia kwanini baba zao walipata hata vyeo.Kaka muda ni dawa..............
 
Huwa sipendi kumjibu lakini nilitaka kumpa angalizo tu kuwa si yeye,baba yake au baba yake ana hisa JF..........Na kutoa comment hakulazimishwi kama yeye anatoa pumba aendelee lakini asitukoseshe haki tunaohitaji mawazo mbadala ya kuhoji,kupinga au kuongezea nyama kwenye hoja,siyo kutukana kudhalilisha wala kufunga mawazo ya wengine..

Humu Vijana wengi wa CCM wanaingia kwa nia moja tu ya kuudhi watu wengine......Sipendi kuwajibu sababu naona nawaongezea promo wasiyokuwa nayo...Yaani kuna wengine akili zao utadhani zimeondelewa MARINDA

Unaweweseka tu! Kama unashindwa kucomment nilichoandika mimi sio lazima, wewe sio speed governor yangu!
 
Naona wanaringia ufisadi na rushwa zilizoletwa na wazazi...........Ila kuna siku watalia na kusaga meno.KUna wengine watajutia kwanini baba zao walipata hata vyeo.Kaka muda ni dawa..............

Mnafarijiana hapa!angalieni topic mezani mtajifia kabla ya muda nyie!
 
Duh wasijekaleta za kuleta tunataka amani.
 
Naona wanaringia ufisadi na rushwa zilizoletwa na wazazi...........Ila kuna siku watalia na kusaga meno.KUna wengine watajutia kwanini baba zao walipata hata vyeo.Kaka muda ni dawa..............

Kimtokacho mtu ndo kimeujaza moyo wake na ndo maisha yake!Pole sana!
 
Duh wasijekaleta za kuleta tunataka amani.

Na hapa ndipo naona wabunge waupinzani walipolala.Jambo hili lilitakiwa lipelekwe bungeni kama dharula..........Kuna haki za watanzania zinaminywa............
 
Haki za watanzania zinaminywa wapi?kila kitu bungeni kwa dharula tumia akili usiwe mzigo kwa taifa!wabunge wako wa CDM wana akili kuliko wewe
,
 
Back
Top Bottom