Uandikishaji bvr daodoma serikali yafanya siri

Uandikishaji bvr daodoma serikali yafanya siri

TOMEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
588
Reaction score
118
Mpaka sasa hakuna tangazo lolote lilitolewa kwa kwa wakazi wa dodoma ukizingatia undikishaji unaanza ijumaa 15/5/2015 my take:ccm ata wafanyaje october wanaondoka magogoni
 
Unalalamika sana wewe mbona matangazo yamejaa kila kona, mmeanza visingizio vya Matangazo ili usiende kujiandikisha baadae ulalamike.
Mwezi wa kumi uandamane umeumeibiwa kura.
 
uwezi kufanya siri kwa wakati huu,hii ni dalili ya serikali kuzidi kujidhalilisha mbele ya wananchi
 
Mpaka sasa hakuna tangazo lolote lilitolewa kwa kwa wakazi wa dodoma ukizingatia undikishaji unaanza ijumaa 15/5/2015 my take:ccm ata wafanyaje october wanaondoka magogoni

CCM kama Burundi ? Mwaka huu wa digital CCM wana hali mbaya sana .
 
CCM lazima iondoke Mwaka huu...yaan nasisitiza kuwa CCM ni lazima iondoke Mwaka huu wa 2015...otherwise patachimbika hapa...
 
CCM kama Burundi ? Mwaka huu wa digital CCM wana hali mbaya sana .

Burundi wameshatulia baada ya waandamanaji kuuawa na jeshi. Hata huku huo ndio utakuwa mpango mzima wa ssiem, alishasema wapigwe tu.
 
Ni kwa nn wasipite mitaani kutangaza tareh ya kuanza uandikishaji kama ambavyo huwa wanatangaza dawa za matende na busha?
 
Back
Top Bottom