Uandaaji wa batiki nzuri za kuvutia

Uandaaji wa batiki nzuri za kuvutia

ELVISLILY

Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
55
Reaction score
24
Si kazi ya wanawake tu kama ilivyozoeleka hapo awali, bali ni kwa msaka pesa yeyote aliye serious na kazi yake.
Nilihudhuria mara kadhaa ktk semina za fani hiyo pamoja na vinginevyo, na baada ya hapo ilinichukua kama mwezi 1 tu kukaa sawa kimtaji.
Huwezi amini nilianza na mtaji wa Tshs 250,000/= tu na hivi sasa nimeweza kununua cherehani yangu ya umeme kwa ajili ya kuboreshea biashara hiyo.
Kwa mtaji huo huo pia nimenunua freezer kuuubwa(960,000/=) la biashara nyingine zaidi ya batiki, na nina kiasi kadhaa cha kuweza kubuni biashara nyingine endapo mchanganuo wake nitaumudu.
Nina miezi 9 ktk game ya batiki na cjaiacha, join me if u r interested kwani naweza kukufundisha na wewe.
 
Back
Top Bottom