Mr Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 1,670
- 767
- Thread starter
-
- #21
we tuachie ujinga
umeanza mwenyewe kuandika ujinga ukijua JF hakuna watu wenye ujinga zaidi
Uanaume ni kupambana familia ipate mahitaji
[emoji767]kalidegree
ayaHahahahahahahhahahahaahah 17% IQ tia maji tia maji kweli hujaona angalizo ? matahiri hayakupaswa kuandika hum griiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Baada ya kupigwa Ban ile ID nyingine,leo umekuja n hii.
Asante sana MR NATAFUTA.da 89% wewe ni great thinker
hiki kichiz kinakuwaga na stress mpaka bas wewe ushaona wendawazim hawatakiwi waandike hum bado umeandika tu NDEGE JOHN
Mimi ni chizi lakini sijafikia uchizi wa kuwa na ID mbili,moja ya kike na nyingine ya kiume. Huu ni utahira.
Asante sana MR NATAFUTA.
Msalimie. MS NATAFUTA.
Uanaume ni kumfata demu unaemtaka PM halafu ukatuma screen shot kwa jukwa
Sasa hapo kipya kipi wakati wa 2015 kurudi nyuma watu walitoa mpaka viwanja wewe wasemea miliooo