Kwa wanaume wa siku hizi jogoo ndo lingekuwa la mwisho kuvuka...!
Wanawake heshimuni waume zenu maana mmetokana na mbavu zao
Ujasiri ni asili ya viumbe vya jinsia ya Kiume au ni kujitahidi tu usiaibike?
Mwanamume Simama katika Nafasi yako usitishwe na Haki Sawa.
View attachment 160713
Haya bwana.., umenikumbusah jamaa aliyekuwa anasema "Ukizaliwa mjini wewe tayari Form Four!"Moja ya zawadi the best ambayo Mungu alinipa, ni hii ya kuwa mwanaume, in short ukiwa mwanaume tu tayari ni kipaji hicho, kwani unakuwa na sifa zifuatazo yani granted fom the heaven.
1.Huogopi, Jasiri, Unanasimamia maamuzi, shida ni fursa kwako, unaishio popote pale unapotaka, etccc
Mwanaume ni simba, A man is a lion"-(Steven kanumba stated)