Uamuzi wangu wanachit chat

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
Baada ya Preta kuja home na kunionyesha uhodari wa kupika nimeazimia kumchukua jumla,
Kubwa zaidi amenionyesha utamu wa sauti yake hasa akiwa anaimba. Plz Madame B nakutegemea katika kuunda kamati KakaKiiza cacico mnahusika.
Ahsanteni
 
Last edited by a moderator:
Hebu njooni kwanza huku Billie's Pub Masaki, tunywe mvinyo kisha baadae ndipo niunde kamati yenu.
 
Hongera sana kama umefanya huamuzi huo wa kumchukua moja kwa moja!
 
Hebu njooni kwanza huku Billie's Pub Masaki, tunywe mvinyo kisha baadae ndipo niunde kamati yenu.

Fanya uwaite waungwana wengi nimechoka kuishi peke angu
 
he! Preta huyuhuyu ambaye amelala kwangu!mtumeee!! Preta unajifanya eti unawai home ding na mother wapo leo watakutafu kumbe unaenda ku.....!! Aise!
 
Last edited by a moderator:
Madabhali Jnr usitake kuharibu ratiba kama vp tutakuapa mualiko.
 
Last edited by a moderator:
Hizi imagination za jf bana.... Kama kujenga nyumba angani!
 
Bado mimi tu vodka humu chitchat kumchukua reds awe wife kama akitokea demu mwenye jina hilo..
 
Hivi unajua nakusubiri hapa NyamaChabiz?

Unajua usilete ubandidu wako hapa.
Kwani umesikia hyo band inapiga mchana?
We wa wapi?
Hebu come kwanza hapa FairWay Bar kwenye Buzuki.
 
Mwaka huu lazima ukatwe kwa kusubiri wake za watu!

Afu unaweza kunipa sababu tatu muhimu za kunichomesha mahindi jana? Fairway Holaaa! Chabes Holaaa! Hivi unanuionaje lakini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…