Kitendo cha jaji Mwanga kung'ang'ania hii kesi mpaka leo sioni dalili nzuri.
Chadema na sisi tuache unyonge, huyo Said Issa tunashindwa vipi kumbana aondoe kesi? Kama CCM imeamua kuwa mafia inabidi tubadilike hawaelewi lugha nyingine zaidi ya ile ya tarehe 29 oktoba.
Huyo Said Issa akikutana na nguvu ya umma na akabinywa kidogo ataondoa kesi na mchezo utaishia hapo.
Mbona kipindi cha Dr Slaa tulikua tunadhibiti huu ujinga kimya kimya. Kama tu wale Covid 19 walikivimbia chama na hakuna kitu tuliwafanya ina set precedence mbaya ndio haya kina Said Issa, mara Mchome, kesho ataibuka Mwingine but if we are a bit aggressive tutakiokoa chama.