Uamuzi wa kujenga Majengo ya Serikali Dodoma ni Uamuzi wa Kipuuzi, wanaoshangilia ni wajinga

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,496
8,734
Uamuzi wa kujenga Makao makuu Dodoma ni moja ya uamuzi wa kipuuzi sana ingekuwa ni nchi zinazo jitambua hili lingetosha kuadhibu Serikali, Bahati sisi raiahatujitambui kabisa.

Yaani hakuna Raia anaye sikitikia gharama kubwa za kujenga Offisi Dodoma bali tunashangilia wote. Sisi wajinga sana.

Gharama zilizo tumika kijenga makao makuu Dodoma ni pesa nyingi sana ambazo zingeingizwa kwenye Kilimo, au Mikopo kwa vijana au kuboresha mazingira ya kufundishia kw shule zetu impact yake ingekuwa kubwa sana.

Fikiria gharama kubwa za kujenga Offisi Dodona na kuna baadhi ya Taasisi awamu ya 4 ndio zilikuwa zimetoka kumaliza kujenga majengo yao Dar es salaam, fikiria jengo la BOT linapaswa pia kujengwa Dodoma.Fikiria Taasisi ambazo hata awamu ya Tano ndio zilitoka kukamilisha kejenga offisi zao Dar sasa zitapaswa tena kujenga Dodoma na still tunashangilia?

Kama hii haitoshi viongozi wako Dara muda mwingi sana kuliko Dodoma, V8 zinachomeshwa mafuta Dodoma to Dar na Dar to Dodoma no one Care?

Na mbaya zaidi raia tunashangilia ujinga huu wa kutisha? yaani Raisi anatamka kujenga majengo mengine zaidi Ikulu Dodoma sisi wajinga tunashangilia? Wakati huohuo Shule tu za mzingi hata Mijini Madarasa ni kama mabanda ya Mbuzi?

Hata kama sisi tunasomesha watoto sujui Englisha medium lakini, mazingira ya shule za Serikali hayafai kabisa na cha kushangaza raia tuna kunua tu meno.

Raia tuna uzezeta some time siwalaumu sana watawala ila nawalaumu raia tusio jitambua na sisi ndio tunawapa power sana hawa watawal kufanya maamuzi ya kipuuzi.

Jana Mama alipaswa kusema kwa sababu kujenga Ikulu ni gharama sana hebu tupumzike kwanza tufanye mambo mengine ya msingi na hayo majengo mengine yatajengwa mbele ya safari huko. Ila anatamka tu wakati km 50 au 70 kutoka hapo Ikulu kuna raia wana umasikini wa kutisha. Na anatamka raia tunashangilia hadi gego la mwisho.

Kuhamia Dodoma lilikuwa wazo la Nyerere hakujua kwamba kungekuja kuwa na maendeleo ya kutisha ya Techinolojia.

Huduma zinapaswa kuwa online ukitoa huduma chache sana ambazo ubapaswa kuwepo, Mikutano inafanywa online.

Nchi kama Kenya imepanga hadi mwisho wa mwaka huu Huduma zote ziwe online na wameisha anza kwa usajili wa vyeti vya kuzaliwa na vifo na Ndoa vinapatikana online, niliona hata unaweza clear mizigo yako Bandari ya Mombasa wewe ukiwa Nairobi una clear online.

Tanzania bado tunaabudu kufuatana ofisini, na raia tunapenda sana hii ya kufuata huduma offisini wakati wenzetu wanahama kutoka huko.
 
Una hoja ila sasa watakuelewa? Niliwahi kupanda lift ya stk moja v8, dereva alikuwa ametumwa Dar kuja kuchujua box za stationaries na mchepuko wa boss apeleke Dodoma.

Mafuta, millage ya dereva, uchakavu wa chombo mixer huyo anayeidhinisha safari, yaani finacial leakage yake si ya kitoto!!!! Watanzania wametulia tuliii hawana neno
 
Uamuzi wa kujenga Makao makuu Dodoma ni moja ya uamuzi wa kipuuzi sana ingekuwa ni nchi zinazo jitambua hili lingetosha kuadhibu Serikali, Bahati sisi raiahatujitambui kabisa.

Yaani hakuna Raia anaye sikitikia gharama kubwa za kujenga Offisi Dodoma bali tunashangilia wote. Sisi wajinga sana.

Gharama zilizo tumika kijenga makao makuu Dodoma ni pesa nyingi sana ambazo zingeingizwa kwenye Kilimo, au Mikopo kwa vijana au kuboresha mazingira ya kufundishia kw shule zetu impact yake ingekuwa kubwa sana.

Fikiria gharama kubwa za kujenga Offisi Dodona na kuna baadhi ya Taasisi awamu ya 4 ndio zilikuwa zimetoka kumaliza kujenga majengo yao Dar es salaam, fikiria jengo la BOT linapaswa pia kujengwa Dodoma.Fikiria Taasisi ambazo hata awamu ya Tano ndio zilitoka kukamilisha kejenga offisi zao Dar sasa zitapaswa tena kujenga Dodoma na still tunashangilia?
Kama hii haitoshi viongozi wako Dara muda mwingi sana kuliko Dodoma, V8 zinachomeshwa mafuta Dodoma to Dar na Dar to Dodoma no one Care?

Na mbaya zaidi raia tunashangilia ujinga huu wa kutisha? yaani Raisi anatamka kujenga majengo mengine zaidi Ikulu Dodoma sisi wajinga tunashangilia? Wakati huohuo Shule tu za mzingi hata Mijini Madarasa ni kama mabanda ya Mbuzi?

Hata kama sisi tunasomesha watoto sujui Englisha medium lakini, mazingira ya shule za Serikali hayafai kabisa na cha kushangaza raia tuna kunua tu meno.

Raia tuna uzezeta some time siwalaumu sana watawala ila nawalaumu raia tusio jitambua na sisi ndio tunawapa power sana hawa watawal kufanya maamuzi ya kipuuzi.

Jana Mama alipaswa kusema kwa sababu kujenga Ikulu ni gharama sana hebu tupumzike kwanza tufanye mambo mengine ya msingi na hayo majengo mengine yatajengwa mbele ya safari huko. Ila anatamka tu wakati km 50 au 70 kutoka hapo Ikulu kuna raia wana umasikini wa kutisha. Na anatamka raia tunashangilia hadi gego la mwisho.
Dubwashaaaaaaaa
 
Kwanini wanaendelea kuzurula Dar wakati Ofisi zao zipo Dom? Wanatakiwa wafunguliwe mashitaka ya matumizi mabaya ya fedha za umma. Wao ni watumishi wa umma kama mwalimu, Afisa mtendaji, Daktari, muuguzi nk. Inabidi watulie vituo vyao vya kazi kama hawataki kukaa Dodoma waachie ngazi, Dodoma ni mji mkuu kisheria.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Una hoja ila sasa watakuelewa?.niliwahi kupanda lift ya stk moja v8 , dereva alikuwa ametumwa dar kuja kuchujua box za stationaries na mchepuko wa bos apeleke dodoma ..
Mafuta , millage ya dereva , uchakavu wa chombo mixer huyo anayeidhinisha safari , yaan finacial leakage yake si ya kitoto!!!! Watanzania wametulia tuliii hawana neno
Wewe ndo mjinga, kwanini hukutoa taarifa ya huu uhujumu uchumi badala yake ukakenua meno kupata lift ya v8.
 
Hate the game not the players! Ushawahi kuisikia hii phrase?
Unadhani huyo dereva wa v8 anapanga yeye hizo safari?. Unaweza kuihukumu Serikali kwa uhujumu uchumi?
Wewe ndo mjinga maana kwa akili yako unaamini dereva ndio anaamua hizo safari. Uhalisia hizo routes zote zina baraka kutoka juu kabisa. Mimi lengo langu lilikuwa ni kusafiri tu niwahi mambo yangu.
 
Uamuzi wa kujenga Makao makuu Dodoma ni moja ya uamuzi wa kipuuzi sana ingekuwa ni nchi zinazo jitambua hili lingetosha kuadhibu Serikali, Bahati sisi raiahatujitambui kabisa.

Yaani hakuna Raia anaye sikitikia gharama kubwa za kujenga Offisi Dodoma bali tunashangilia wote. Sisi wajinga sana.

Gharama zilizo tumika kijenga makao makuu Dodoma ni pesa nyingi sana ambazo zingeingizwa kwenye Kilimo, au Mikopo kwa vijana au kuboresha mazingira ya kufundishia kw shule zetu impact yake ingekuwa kubwa sana.

Fikiria gharama kubwa za kujenga Offisi Dodona na kuna baadhi ya Taasisi awamu ya 4 ndio zilikuwa zimetoka kumaliza kujenga majengo yao Dar es salaam, fikiria jengo la BOT linapaswa pia kujengwa Dodoma.Fikiria Taasisi ambazo hata awamu ya Tano ndio zilitoka kukamilisha kejenga offisi zao Dar sasa zitapaswa tena kujenga Dodoma na still tunashangilia?
Kama hii haitoshi viongozi wako Dara muda mwingi sana kuliko Dodoma, V8 zinachomeshwa mafuta Dodoma to Dar na Dar to Dodoma no one Care?

Na mbaya zaidi raia tunashangilia ujinga huu wa kutisha? yaani Raisi anatamka kujenga majengo mengine zaidi Ikulu Dodoma sisi wajinga tunashangilia? Wakati huohuo Shule tu za mzingi hata Mijini Madarasa ni kama mabanda ya Mbuzi?

Hata kama sisi tunasomesha watoto sujui Englisha medium lakini, mazingira ya shule za Serikali hayafai kabisa na cha kushangaza raia tuna kunua tu meno.

Raia tuna uzezeta some time siwalaumu sana watawala ila nawalaumu raia tusio jitambua na sisi ndio tunawapa power sana hawa watawal kufanya maamuzi ya kipuuzi.

Jana Mama alipaswa kusema kwa sababu kujenga Ikulu ni gharama sana hebu tupumzike kwanza tufanye mambo mengine ya msingi na hayo majengo mengine yatajengwa mbele ya safari huko. Ila anatamka tu wakati km 50 au 70 kutoka hapo Ikulu kuna raia wana umasikini wa kutisha. Na anatamka raia tunashangilia hadi gego la mwisho.
Hilo ni andiko bora kabisa kwa mwaka huu. Ubarikiwe sana mkuu.
Jana tulikuwa tunabishana hapa kwann fulani hajapewa credit, sijui hajasifiwa sijui uthubutu. Wengine wanasema hat mwalimu Nyerere Hajafanya kitu kabisa ukimlinganisha na magufuli. Pathetic.
Kinachoendelea serikali haipo DODOMA WALA DAR ipo hapo katikati
 
Huu ni ukweli mchungu ambao watu wengi hawapendi kuusikia. Kiukweli kuna majengo mengi makubwa na mazuri yameachwa dar sasa yamejaa mapanya alafu bado watu wanaenda kujaza majengo hovyo Dodoma.

Hii nchi aliyeturoga kweli amekufa. Kama kuhamia Dodoma zilitakiwa zihamie wizara tu huku taasisi zingine zibaki Dar es Salaam kulifanya jiji la Dar kuendelea kuwa kwenye ramani ya maendeleo na kuepuka hasara kubwa kwa Serikali
 
Back
Top Bottom