Uamsho: Sasa Tunalivaa Swala La Kuuvunja Muungano Kiimani. Tuko Tayari Kwa Kila kitu

I am a muslim but i don,t like this groups called UAMSHO any more ,they have to deteriorate itself and leave the safe zanzibarian people live safely without any disturbances caused by them wearing smart KANZU but their intension to zanzibarians is ssooooo bad.
 
Kweli unyanyasaji na ubaguzi na chuki dhidi ya Watanzania bara Zanzibar iko katika hali ya kutisha. Tukamilishe serikali moja Tanzania yote
 
Chama legelege huzaa serikali legelege. Kunapokua na vacuum ya uongozi na maamuzi, wananchi watajaza hiyo vacuum
 
Hivi wanashindwa hata kufanya reference za tawala zilizopita ?
Jamani watanganyika acheni uchochezi hayo maneno mumeyapata wapi? huu ni uwongo . L ICHA ya kutumuia jumuiya yetu kutetea maslahi ya nchi yetu, hili si geni katika dunia! musehau harakati za waislamu katika utetezi wa Tanganyika? JEE muslim brother hood ilikuwa hawan uhalali wa kuunganisha wamasri kuleta haki iliyopotezwa na utawala wa wa mubarak? jee mumesahau ujerumani kuna chama cha christian democracy? sisi uamsho tumesajiliwa kisherai na msaada wa kisheria na tunaisaidia jamii kwa kiwango cha hali ya juu! futatilieni jamii itrawapasha? hivi wazanzibari hawan akili kutuunga mkono tena ni zaidi ya 80% . Hizi ni chuki zenu zidi ya waislam na wazanzibar! sisi tunajua fika uwepo kwa wakiristo(wareno, magoa, na idadi waafrika) kulikuwepo wahindu kutoka india, budda kutoka china na hata mayahudi.


http://victorian fortunecity./portofolio/543/crusades in znz.htm
Jamani kuweni na busara usiseme usilolijua. si vizur kuongea mambo musioyajua neno jihad halina maana ya kukamata mapanga au mizinga hili ni neno la kiarabu lina maana kujitahidi katika jambo kufikia malengo( ijtihad). Tatizo lenu munakitumia kiswahili kwa matumizi mabaya ya kisamiati
UAMSHO SI MAGAIDI. MAJAMBAZI ILA NIJUMUIA HURU YA KIJAMII

 
Tuwape tu taraka tatu ili waanze kuangalia nani mzanzibari na nani mzanzibara.....watauana vibaya sn hawa jamaa nnavyowafahamu kwani historia inaonesha kuwa hawapendani kabisa....wanajiita wazanzibar saaizi kwa sababu wapo ndani ya muungano nje ya muungano itakuwa balaa tupu tutapata wakimbizi wengi sn tuendako km zenji....mi naona ni bora tuulinde muungano kwa nguvu zote kwani baadaye watatupa mzigo wa kuwaonea huruma
 
Hivi hawa ndugu wa zbar wanadhani watu wa bara wananufaika na muungano sana sana ni prestige ya kuwa taifa lililoungana. lakini kwa maoni yangu ninadhani siyo watanganyika tuu lakini hata viongozi wamechoka na 'visa vya mpemba' ila hawataki kuwa wa kwanza kusema.
Kwa maoni yangu nikuwa na sisi tumechoka kelele hizo na ufe. kama suali ni uislamu somalia/yemen wote ni dini moja lakini mbona hali si shwari? Tatizo wa zbar wanajifanya wanajua lakini hawaelewi. Na ufe ili tufaidi nchi yetu. umeme tunawapa wa afueni kuliko tunaotumia wenyewe. biashara zenu za mbao michele kupeleka arabuni haitokuwepo na huku kwetu muondoke na ardhi yetu vivile haipaswi kumilikiwa na wa zbar. sisi hatuihitaji kabisa zbar hata wakiuana shauri yenu maana hatusemi lakini ukweli ni kuwa tumechoka. Ila mfahamu kuwa ukifa ndiyo awile msije mkajuta tuu. Hivi leo hata udhibiti wa vyombo vya baharini mnafanya siasa matokeo yake watu wanakufa lakini kwa vile ni udhaifu wenu hamsemi ila ingekuwa suala la muungano mngepiga kelele sana. huku bara idadi yenu ni zaidi ya laki 5 na sisi kule kwenu tuko wangapi?? NA KAMA KWELI IWE KWELI KWENYE MDAHALO WA KATIBA MPYA KATAENI ILI LIWE SUALA LA KWETU BARA.
 
MOTO ULIOCHOMA MAKANISAA, ..... UTAZIMWA NA MAJI
Kamwe usimchezee Mungu , mnakumbuka gharika kuu??? Sodoma na Gomora???
1 Palitokea manabii wa uongo kati ya watu, na vivyo hivyo walimu wa uongo watatokea kati yenu. Watu hao wataingiza mafundisho maharibifu na kumkana Bwana aliyewakomboa, na kwa njia hiyo watasababisha ghafla maangamizi yao wenyewe. 2 Tena watu wengi watazifuata hizo njia zao mbaya, kwa sababu yao, wengine wataipuuza Njia ya ukweli. 3 Kwa tamaa yao mbaya watajipatia faida kwa kuwaambieni hadithi za uongo. Lakini kwa muda mrefu sasa Hakimu wao yu tayari, na Mwangamizi wao yu macho
Watu hao ambao hutukana chochote kile wasichoelewa, ni sawa na wanyama wasio na akili, ambao huzaliwa na baadaye hukamatwa na kuchinjwa! Wataangamizwa kutokana na uharibifu wao wenyewe, 13 na watalipwa mateso kwa mateso ambayo wameyasababisha.
Huwaahidi watu wengine eti watakuwa huru, kumbe wao wenyewe ni watumwa wa upotovu--maana mtu ni mtumwa wa chochote kile kinachomtawala. 20 Watu waliokwisha ponyoka katika upotovu wa ulimwengu kwa kupata kumjua Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo, kisha wakakubali kunaswa na kutawaliwa tena na upotovu huo, hali yao itakuwa mbaya zaidi kuliko awali. 21 Ingalikuwa afadhali kwao kama wasingalijua kamwe njia hiyo ya uadilifu kuliko kujua na kisha kuiacha na kupoteza amri takatifu waliyopokea. 22 Ipo mithali isemayo: "Mbwa huyarudia matapishi yake mwenyewe," na nyingine isemayo: "Nguruwe aliyekwisha oshwa hugaagaa tena katika matope!" Ndivyo ilivyo kwao sasa.
 
Hivi ni lazima uongee kiarabu??? ukiongea kiswahili Mmungu hatakusikia,
Kweli waarabu kiboko, wamewafanya hawa watu wawaone kama miungu hadi kusali lazima usali kwa lugha yao ukiswali kiswahili wewe sio muisilamu kwa sababu Alah hasikii kiswahili
 
Tuna mda mchache wa kuwahita magaidi...Al-qaeeda...Al-shaabab,Bhoko haram...nalazima tuwavulumishie mabomu ya machozi na risasi zaukweli...maana kama mnaingiza udini katika siasa hatutakubali sisi wa Tanganyika kutuita makafri..pili nyie ni masikini sana huko visiwani leo iweje mseme Tanganyika inawahujumu????
Halafu jitu kama hili linakwenda serikalini linataka lipewe kazi kwa kisomo cha madrasa
 
Tuna mda mchache wa kuwahita magaidi...Al-qaeeda...Al-shaabab,Bhoko haram...nalazima tuwavulumishie mabomu ya machozi na risasi zaukweli...maana kama mnaingiza udini katika siasa hatutakubali sisi wa Tanganyika kutuita makafri..pili nyie ni masikini sana huko visiwani leo iweje mseme Tanganyika inawahujumu????
Nafikirie ukapimwe akili hebu nitafsirie nini maana ya ugaidi wewe kinachokuponza dini yako kwenda kinyume na dini ya wazanzibar walio wengi sasa wewe kama unamizinga na mabomu njoo upige baada kwisha hii ramadhan kama wewe umechukizwa na kinachotekea z'bar jaribu kuwashawishi wenzako mtoke katika muungano au kama una hamu kupiga risasi kapige ngedere porini
 
Kaka siyo maneno yangu. Sikiliza video. Ni maneno ya viongozi wa Uamsho (masheikh)

Hawa watu na uislam wao watakuja kutuletea balaa, hivi kwanini watu watumie mgongo wa dini kudai mambo binafsi? Tukijitenga hakika asionekane Mzanzibar huku Bara, tunawahamisha tuone wataenea wapi pale kisiwani..Watu wana mawazo mgando sana, acha wakurupuke kama hiyo nchi haijaja kuwa Koloni la taifa moja kubwa..Boko Haram:shetani:
 
Hivi ni lazima uongee kiarabu??? ukiongea kiswahili Mmungu hatakusikia,
Kweli waarabu kiboko, wamewafanya hawa watu wawaone kama miungu hadi kusali lazima usali kwa lugha yao ukiswali kiswahili wewe sio muisilamu kwa sababu Alah hasikii kiswahili

Mungu wao anashika freequency moja tu na hadi uelekee sijui upande gani vile?:shetani:
 
Tuwape tu taraka tatu ili waanze kuangalia nani mzanzibari na nani mzanzibara.....watauana vibaya sn hawa jamaa nnavyowafahamu kwani historia inaonesha kuwa hawapendani kabisa....wanajiita wazanzibar saaizi kwa sababu wapo ndani ya muungano nje ya muungano itakuwa balaa tupu tutapata wakimbizi wengi sn tuendako km zenji....mi naona ni bora tuulinde muungano kwa nguvu zote kwani baadaye watatupa mzigo wa kuwaonea huruma

Pure nyerere propaganda kwani hata nyinyi sasa mmeshaanza kuwa CHADEMA chama cha kanisa na wachaga juwa moto huanza chechea
 
Kichapo kikianza msije kwenda kututia aibu tena kuomba hifadhi Somalia. Piganeni mpaka mtu wa mwisho mtaambulia japo kuzikwa Zanzibar, Hiyo ardhi kamwe hamtaichukua, Mwingereza na Mmalekani walishachukua zamani hivyo visiwa, mnabaki kuilaumu Tanganyika. Mnakuwa majuha msiojua hata adui yenu ni nani, someni Historia between the lines. Mnabaki tu kupokea misaada ya vipaza sauti toka Ubalozi wa Marekani, huku mkijua you have their backup hamjui what is behind the curtain na huu wote ni ujuha. Thread nyingi hapa zilishawaelimisha njia nzuri ya ninyi kuvunja muungano, moja wapo ni ushauri nzuri mliopata kwa Mwanakijiji kwa nini msiwaambia wawakilishi wenu wanaoganga njaa kwenye bunge la Muungano warudi kwenu tu, na muungano utakuwa umeisha period.
Njia mliyotumia kwa wabunge wenu kutoka ukumbini baada ya Meli kuzama, ndio njia hiyohiyo mnaweza itumia kuachana na muungano.Acha unafiki, tokeni kwenye muungano kwa vitendo
 
Back
Top Bottom