Uamsho: Sasa Tunalivaa Swala La Kuuvunja Muungano Kiimani. Tuko Tayari Kwa Kila kitu

I see sparks of violence in the name of ISLAM. IT is BURNING in Nigeria and if not controlled it will burn here. These people are fueling hate with intension of turning the Islands to "rightfull owner" who happen to be a Muslim from Mascat.
 
Hivi wanataka Zanzibar Huru au wanataka Taifa la Kiislam ?!

wanataka zanzibar yao irudi kwenye ramani ya dunia na pia wanatuamsha na sisi kuanza harakati za kudai kiti cha tanganyika yetu kirudishwe UN,Sema ili mafanikio yaje haraka wameingiza na imani ya dini yao katika kulidai taifa lao hilo,ni strategy tu usihofu
 
Tuna mda mchache wa kuwahita magaidi...Al-qaeeda...Al-shaabab,Bhoko haram...nalazima tuwavulumishie mabomu ya machozi na risasi zaukweli...maana kama mnaingiza udini katika siasa hatutakubali sisi wa Tanganyika kutuita makafri..pili nyie ni masikini sana huko visiwani leo iweje mseme Tanganyika inawahujumu????

HAtukua masikini ,mumetutia umasikini,pumbavu kama wewe ambae hukuenda shule hujui masuala ya uchumi huwezi jua wapi zanzibar ina nyonywa.
 
I see sparks of violence in the name of ISLAM. IT is BURNING in Nigeria and if not controlled it will burn here. These people are fueling hate with intension of turning the Islands to "rightfull owner" who happen to be a Muslim from Mascat.
Uwamsho hawataki uwongozi wanachotaka wazanzibari kupata uhuru wao na maamuzi ya kinchi na kumrudishia rais wetu wa zanzibar hadhi yake kimataifa na utaifa wetu.
 
With due respect to their( UAMSHO )intentions as explained by you, I gather a religious "vibe" which is similar to the one coming from other Islamic fundamentalists around the World, in their mode of operation. It is widely rumored that there is a financial back up which has threads tied to former rulers from Muscat. This combination Of the "vibe" and the rumour has propelled me to put the caution you have quoted.
 
zanzibar nchi huru waachwe ,wa tanzania mna watakia wa nini

ikiwa serikli yetu ni makini, inabidi iwasikilize hawa watu. kama ni nchi wapewe, hakuna cha maana tunachokipata kutoka zanzibar zaidi ya hizi kelele zao hatarishi
 
Mimi nimesoma na Waislam wenye Msimamo mkali A-level..

1. Mnaweza kuwa Mna-discuss, mara huyo ameenda Msikitini kuswali zile swala tano

2. Wakati wa kula Wanajitenga wanaenda kulia kwenye Msikiti

3. Unaweza kukuta Mwalimu anafundisha wao hawapo Darasani,wapo msikitini wanaswali anakuja Kuingia Darasani Mwalimu kamaliza Kipindi.

4. Kuna walimu wa Ziada wanaendesha vipindi baada ya Vipindi vingine kuisha, wao wanashindwa kwenda Kusoma masomo ya ziada wanaenda msikitini

5. Wanasikiliza Mawaidha ya Kiislam kwenye Redio zao. Wanashndwa hata kuingia Darasani na Kushirikiana na Wengine Kisa Kuna Mfumo Kristo.

6. Waligomea kufanya MOCK mpaka Wafungue RAMADHAN

7. Matokeo Yametoka WAMEFELI WOTE

SASA KAMA WAISLAM HAWATA KUWA MAKINI NA MANENO YAO WATASABABISHA KUWA MASKINI ZAIDI YA HAPA WALIPO MAANA HAKUTAKUWA NA MWALIMU MWISLAM,ENGINEER,MWANASHERIA,DOKTA,NESI.n.k

Wanawafanya Jamii yao Ishindwe kusoma na Kukimbilia QURAN na Madrasa Kuliko Kusoma kwa Maendeleo yao ya baadaye

Watakuambia wanafelishwa ila wanafelishwa nini? Jibu ni MTIHANI WA DINI.. Yaan wao hawana ndoto za udaktar wala uengineer ni ndoto za msikitini.


Uamsho/Masheikh wanaweka Chuki za Kidini kwenye Jamii, watoto wao,Waislam wasiofikiria mbali na wengine watashindwa Kusoma na Kufikiria Maendeleo na kuacha Shule Wengine Kisa Wamepandikizwa Chuki za Mfumo Kristo, Mara MOU, Mara Maaskofu Wanasahau ELIMU... Wenyewe wanafanya Wakidhani wanafaidika kumbe Wanajiharibia ZAIDI hasa kwa Kizazi wanacho kihubiria.
 
Mbona Waarabu Tena!! eenh! Uamsho kumbe ni Yale Maarabu makatiri yaliyobaki baada ya Kiongozi wao Sultani kukimbizwa? Sasa ndio Yanataka kurudi tena kwa Njia za Udini? hahaha Wazeni Nyie wenye Asili ya BAra hebu yakemeeni hayo Maarabu na Mihindi kina JUsa kwani ni Aibu kubwa Mwarabu na Muhindi Kudai Uhur wa Zanzibar hayajui maana ya Mapinduzi yalikuwa ni kuwaondoa Waarabu waliokuwa wanajidai High Class wakati wa Sultani Wao Mwarabu Mweusi Sayid
 
ndugu zangu waafrika... ukicheki vizuri hawa viongozi wa UAMSHO ni waarabu... watawabagua mara baada ya kupata uhuru wenu na kwa kulijua hilo mzee karume akaunganisha zanzibar na tanganyika ili waafrica tuweze kujitawala na sio watu wengine...kumbukeni ukristo uislamu vyote ni mpito tu maana vimeletwa ili watutawale...HOPE MNAKUMBUKA DIVIDE AND RULE POLICY ndo majamaa wanatumia....jiepusheni piganieni muungano dini weka mbali ni kutuchonganisha tu akati sote ni ndugu...

"umesema, 'ndugu zangu waafrika .....' tayari ushaleta ubaguzi, maana najua ulichokusudia hapa ni 'ndugu zangu wenye rangi nyeusi ....' Zanzibar na hata Afrika nzima sio ya watu weusi peke yao kaka, tena nafikiri waafrika weupe ni wengi zaidi kuliko hata hao weusi ... kwa taarifa yako hizo pumba unazoongea zishapitwa na wakati, kama umewaona viongozi wetu wa Uamsho ni waarabu, huo ni ushamba wako tu, humjui muarabu nani wala muafrika nani, .... mimi tu nitakwambia hao ni waZanzibari kindakindaki, wenye uchungu na nchi yao kama tulivyo wengi wetu. siasa zako za ubaguzi nenda ccm (wahafidhina) huko si wakati wake tena huu"
 
With due respect to their( UAMSHO )intentions as explained by you, I gather a religious "vibe" which is similar to the one coming from other Islamic fundamentalists around the World, in their mode of operation. It is widely rumored that there is a financial back up which has threads tired to former rulers from Muscat. This combination Of the "vibe" and the rumour has propelled me to put the caution you have quoted.

"is it difficult for you to write waht you wrote in swahili? i honestly didn't understand what you wrote!!!"
 
"is it difficult for you to write waht you wrote in swahili? i honestly didn't understand what you wrote!!!"
Nilikua najibu nilicho nukuliwa niposema nahisi Udini unatumiwa na UAMSHO kwa namna ileile ambayo imeleta dhahama kubwa sehemu Mbali mbali DUNIANI. Pia kuna tetesi ya kuwapo pesa kutoka "muscat" kusukuma agenda ya kuvunja muungano.
 
Nilikua najibu nilicho nukuliwa niposema nahisi Udini unatumiwa na UAMSHO kwa namna ileile ambayo imeleta dhahama kubwa sehemu Mbali mbali DUNIANI. Pia kuna tetesi ya kuwapo pesa kutoka "muscat" kusukuma agenda ya kuvunja muungano.

" dini ya kiislam inatumiwa kweli na Uamsho kupigania agenda yetu ya 'kutaka tuachiwe tupumuee' ila sikubaliani nawe unaposema 'kwa namna ileile ambayo imeleta dhahma sehemu nyengine duniani'. sio siri waZanzibari karibu wote ni waislam, na kwa muda mrefu wanasiasa wamekuwa wakitugawa hivyo kukosa umoja katika kudai hasa matakwa yetu, Uamsho imekuja kutuunganisha na kwa taarifa yako tofauti na sehemu nyengine duniani, UAMSHO imeshatamka wazi mara chungu nzima ya kwamba hawana haja ya uongozi wala kuuubadilisha uongozi uliokuwepo. hii ya pesa toka muscat ni propaganda tu, yawezekana tu wakawepo waZnz ambao wapo kule na kama walivyo sehemu nyengine mbalimbali duniani wakatoa mchango wao katika harakati hizi, kam aambavyo sisi wenyewe hapa Znz tunavyochangishana. lakini kama umekusudia muscat/oman ki uongozi huo ni uongo na ni just propaganda chafu ambayo haina wakati kwa sasa na wala haitatuteteresha. Kudai chetu ni haqi yetu waZnz popote pale tulipo"
 
i dont understand what your talking about ,think deeply about zanzibarians ,think about yourself ,and think about nations wearing smart kanzu is not enough for you god to regard you as good person ,but what you say , what you think ,what you do; is enough the god to punish you .i predict not soo late may be nearly to come is preparing the torture for this group .
 
Back
Top Bottom