UAMSHO na sura ya ugaidi

haaa haaa haaaaa .... kwa trick ile ya kujiteka mwenyewe kweli nimeamini ana matatizo ya akili

Bado kuna wafiadini wanaamini alitekwa, tena kwa silaha za kivita. Kweli 'AKILI NZURI UKIWA NAYO'
 
Inashangaza sana kina yakhe kuchulia mambo juu juu na kuyatilia maanani,angalia sasa mnapokea hadi magaidi kisa wa imani yenu,ndg zangu mtaiharibu nchi na kweli imani nyingine ni wajinga au wapole kiasi hicho.BUSARA NDIYO INAYOTUMIKA.
 
Naona leo wa upande wa pili wako kimyaaa,wameumbuka,wajitambue sasa
 
Usalama wa Taifa kazi yao ni moja tu! Kula rushwa na kujua mambo ya CDM hawanaga jipya hata limoja!


Usalama wa taifa wanafanya kazi gani? au wao ni kuwafuatilia Dr ulimboka na CDM tuu??
 
usalama wa ccm! usalama wa Taifa ulikufa na mchongameno
 
juzi tu watu walitoa mada kuhusu huyu jamaa na hizo ishu zilitajwa humu.inakuwaje raia tunapata info lkn TISS hawana?!
 
Inashangaza sana kina yakhe
kuchulia mambo juu juu na kuyatilia maanani,angalia sasa mnapokea hadi
magaidi kisa wa imani yenu,ndg zangu mtaiharibu nchi na kweli imani
nyingine ni wajinga au wapole kiasi hicho.BUSARA NDIYO
INAYOTUMIKA.

jamani tuhangaike na ndg zetu waislam ili wapate elimu.tukilala wajanja watawatumia kuua nchi!
 

bora waje kututawala hao waarabu., kuliko nyinyi watanganyika wakoloni weusi.
 
mumewazoea mashekhe ubwabwa huyu mpiganaji wetu faridi hadi mutuwachie wenyewe nyie musosijua. mapambano pale ale mpaka kielewekee
 
hata Dr ulimboka alijiteka , tunajua hii

wana mambo yao ya siri. wanatumiwa hawa.
 
Afrika mashariki walikuwepo 2,faridi na yule mwenzake alieuwawa kenya .....kuna wanafunzi wao wanne wapo uganda wakitokea elitrea...muda wowote watakamatwa watakapo maliza kuwafuatilia kilicho wapeleka uganda...

Faridi si mtu mwema...ametrain watu kutengeneza mabomu kwa kutumia vifaa fulan fulan...

Yanatosha
 

Mleta uzi na muandishi wa hii inaonekana hata dar es salaam hawajafika sijui wapo vijiji gani katika nchi ya tanzania. inaonekana hawa baadhi ya waandishi ni wale wale kama yule msomi naibu waziri wa elimu alokurupuka kule south africa tena kwa kujiamini kuongelea suala la nchi asilolifahamu shame on both of you .

kumjaji mtu kwa rangi ama kwa dini yake haya ndo matatizo ya wanasiasa wetu . mleta uzi na muandishi wako mmepotoka wazanzibar wengi wao ni watu waliochanganya damu na wengi wao ni waislam , kuwacha ndevu ni moja ya tabia za waislam sasa kama ni ugaidi basi wazanzibar wengi ni magaidi.

hapa tatizo kila mmoja wetu analijuwa ila kila mmoja analifumbia macho tatizo ni huu MUUNGANO wetu haupo sawa na ni wa kung'ang'aniana ukweli wazanzibar hawaukubali mfumo huu na ukweli utaleta matatizo makubwa tukiendelea kujitia pambani.
 
Ni hatari zaidi iwapo mbwa mwitu wachache waliovaa ngozi ya kondoo watajichanganya na kondoo katika malisho... TISS mpoooo.. najua mpo ndo maana connections zake na Qatar, Yemen na Alqaida zimejulikana... Ninajua kwamba waislamu na wakristo wana kawaida ya kuishi kwa amani siku zote.. panapotokea mikinzano ya waislamu kuwashambulia wakristo kwa mahubiri yasiyo na TIJA kwa Mola na binadamu na hasa katika uchomaji makanisa.. lazima ujue kuna jinamizi limeweka mkono wake... Naomba wasakwe haw ambwa mwitu wote na wawaache waumini wote watimize nguzo MuHIMU ambayo ni upendo kwa binadamu wote.
 
Mi nina shaka na hiyo source - hiyo TV station na hilo gazeti kwetu hatuijui. Ukweli utajulikana kesho mahakamani kama atakuwa amebalilishiwa mashitaka kuwa ya ugaidi ambayo hayadhaminiki. Nadhani hata CIA na FBI wacha TISS wetu watakuwa wanalifanyia kazi maana suala la ugaidi ni la kimataifa (international) na hawawezi kuiachia Zenj peke yake kulishughulikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…