nanjilinji
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 1,206
- 566
- Thread starter
- #21
Wewe ukanyoa au ukasuka?Kuna mmoja alikataa hata nisimfollow mitandaoni
Wewe ukanyoa au ukasuka?Kuna mmoja alikataa hata nisimfollow mitandaoni
If you can not handle the truth the best option is to quit!!You can't handle the truth?
Basi weye huaminiki!!! Miss Chagga yeye haweki passwordkila mtu atumie simu yake tusiuane na presha
Ujumbe: kabla ya kugegedana muombe mpenzi wako (kama njia ya kumuandaa) akupe simu yake/zake na uchungulie; akikupa jua ni mwaminifu na endelea hata bila ndomu ila akikataa geuka mzungu wa tano. Wekeend njema
Haya mkuu ngoja nianze na banana.....
Password ni kipimo tosha cha kuzuia ukimwi. Naomba nijieleze, unaweza kupima mwenza wako nyote mashallah mkawa hamna, baada ya miezi mitatu mkarudi mkathibitisha hamna. Mkaanza kutumbua ile halua kwa raha zenyu nyama kwa nyama. Kivumbi mmoja wenu anachepuka na kuupata, mwenzangu na mie anaamini kuwa mwenzake hachepuki, la haula kumbe anaogelea katika liukimwi. Lakini kama unafahamu password, kuchepuka hakuwezekani. Siku hizi mtu akitaka kutongoza anaomba namba ya simu, kama unajua mpenzi wako ana password, huwezi kumpatia na hapo umeepusha ukimwi. Miss Chagga hii ni kweli au uongoNdio maana ukimwi hauishi
Maana password ndio imegeuka kipimo....
Hiki ndicho kipimo cha mapenziMapenzi ya kweli... Ujumbe ukiingia mpenzi anamwambia mwenzie, naomba nisomee huo ujumbe tafadhali
watu wanafuga nyoka na simba...la msingi ni kuhakikisha wako caged 24/7Kwa nini uwe naye kama ni hali hii?
wakristo tunaposeamini kuw amelaaniwa kila amtegemeaye mwanadamu tunamaanisha kitu tofauti ndugu..hapa inamaanisha kuamini kuwa mwanadamu flani ndo anawezesha existence yako katika mambo ya riziki, afya, uhai na mengineyo, na kwamba mwanadamu fulani ana power ya kucontrol destiny yako.Binadamu yeyote haaminiki kwa lolote .kwetu wakristo tunasema amelaaniwa yeye amtegemeaye mwanadamu.