Jambo mkuuHujambo??
Nimemsamehe kwa moyo mmojaAnajitoa ufahamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msamehe bure
Kwa hiyo mtu akiniita bro na wewe unaniita bro, na mimi nifanye hivyo hivyo?Eeeee si kakuita bro yule
[emoji23][emoji23][emoji23] hatujuani wee mimi ntajuana wapi na kijana wa pwani huyuKumbe mnajuana
ha ha ha kuna wenye mioyo miwili?Nimemsamehe kwa moyo mmoja
🤣🤣🤣🤣🤣Bahati yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulivyokuwa na huruma wewe ukapona hivi hivi!??
Eeeee mimi na huyu wewe tuskie tu kiddoKumbe mnajuana
Nani mkuu?? Mimi mkuu???Jambo mkuu
Ahsante sana! Unisamehe na usahau sasa maana wewe kwa kuweka mafundo hujamboNimemsamehe kwa moyo mmoja
Kwamba???Kwa hiyo mtu akiniita bro na wewe unaniita bro, na mimi nifanye hivyo hivyo?
Yaani unanikana mbele ya kadamnasi?? Kwa kweliiiii[emoji23][emoji23][emoji23] hatujuani wee mimi ntajuana wapi na kijana wa pwani huyu
Dah so sadAchana na picha, tulipokua shule taa ya bwalo la chakula iliungua. Ikabidi niitwe kuibadilisha, tulikosa ngazi ila palikua na meza haina mguu mmoja.
Kuna jamaa akajitolea atashikilia hapo pasipokua na mguu, kikawekwa kiti juu ya meza nikapanda, nikamaliza kazi vizuri, taa ilipowaka jamaa si akaachia meza kwa kujisahau. Hadi leo chembe moyo haijakaa sawa kutokana na lile tukio, nilianguka mbavu za kifuani ndio zikawa egemeo.....fulcrum
Dr MagufuliUaminifu uliotukuka.....Je ni wangapi tunawaamini?
View attachment 1153796
Hiyo namba 3 hiyo mh1: God
2: my mother
3: hubby ......future[emoji16]right time.
4: wadogo zangu.(3).
Vitu kama hivi vinatokea sana hasa kwenye matukio ya chaboUaminifu uliotukuka.....Je ni wangapi tunawaamini?
View attachment 1153796
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiazi wewe.... Unakataa we sio mkuu?Nani mkuu?? Mimi mkuu???
[emoji23][emoji23][emoji23]kijana wa zenji[emoji23][emoji23][emoji23] hatujuani wee mimi ntajuana wapi na kijana wa pwani huyu