Uaminifu uliotukuka

Asemaye anampenda Mungu Hali jirani yake anamchukia huyo Ni mwongo Wala kweli haimo ndani yake.

Ila hapa nadhani swala Sio upendo Bali Ni uaminifu,yawezekana tunawapenda kwa asilimia zote lakini tunaweza tusiwaamini kwa kiwango hichohicho.
[emoji1317][emoji1317][emoji8] bahati mbaya sana umeolewa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nawaamini watu wote Ila SI kwa asilimia zote
Namwamini Mungu kwa asilimia 100.
Huyo Mungu tu kuna wakati anatusaliti, if you know what I mean. Tunapanga nae na kumshirikisha kabisa, at the end jamaa haonekani kwenye plans zetu[emoji23][emoji23]
 
Huyo Mungu tu kuna wakati anatusaliti, if you know what I mean. Tunapanga nae na kumshirikisha kabisa, at the end jamaa haonekani kwenye plans zetu[emoji23][emoji23]
Mungu hajawahi kusaliti mtu,unless hiyo mission haikukusudiwa kutimia kwako
.
Mungu ana wakati wake sahihi wa kujibu,huwa hachelewi Wala kuwahi., huo wakati wa Mungu yawezekana kwetu sisi tusiuone kuwa Ni sahihi,vivyohivyo majira sahihi kwetu yaweza kuwa SI sahihi kwa Mungu..luk13:14-16
Ndio maana unaweza kumuomba kitu Mungu atimize mambo kwa Muda fulani na ukashangaa halijatimia

Tatizo letu Ni moja, tunapenda Mungu ajibu kwa kadri ya mapenzi yetu.,katika Sala zetu Ni muhimu kumsihi Mungu mapenzi yake yatimizwe kwetu kwa kadri apendavyo Wala SI tupendavyo sisi.

Pia kitu kingine,watu tunapenda kumuomba Mungu Hali bado hatujajitakasa,maombi ya mwenye dhambi Ni kelele mbele za Mungu.

Mungu katika mathayo anasema ombeni mtapewa
Lakini katika yohana ameweka condition kwamba tukikaa ndani yake na maneno yake yakikaa ndani yetu,tuombe tutaka lo lote kwa jina lake tutapewa.
Kumbe
*Ni lazima Kwanza kukaa uweponi mwake
* Ni lazima Neno lake likae kwa wingi katika mioyo yetu
*Neno likikaa kwa wingi (tuliishi Neno)) ndipo Sasa tutakapopewa lolote tutakalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…