Uaminifu uliotukuka

Siwezi nikamwamini binadamu kwa asilimia zote
SI mkamilifu,lazima Kuna sehemu atapwaya,Kuna Jambo atashindwa..katika Hali ya kibinadamu Kuna Muda anakosea.

Namwamini Mungu kwa asilimia zote maana hajawahi kukosea na yeye pekee ndiye mkamilifu
Nimekuelewa..
 
ha ha ha ha nilishakutana nalo hilo;Mi naona bora umuamini mtoto wako tu.

Watu wanajifariji tu walioweza kuziondoa kabisa Expectations kwenye maisha yao ni wa chache sana hata inaweza ikawa hakuna

Popote pale lazima uwe kuna mtu una muamini na unamatarajio yeyote na chochote kutoka kwake
 
Namwamini mke wangu kuliko kiumbe kingine chochote hapa Duniani. Maana huyu ndo kila nnapokuwa na usingizi mzito anakuwa pembeni yangu..na kitendo hicho siwezi kufanya na kiumbe mwingine zaidi yake. Hiyo imani iliyonifanya nimwamini ktk hilo,ndo iliyonipa pia imani ktk kila kitu. Yaani ni mke wangu kwanza wengine wote wanakuja baadae!
 
Akiingiliwa na roho ya ibilisi mkuu....unaweza kujitundika
 
Watu wanajifariji tu walioweza kuziondoa kabisa Expectations kwenye maisha yao ni wa chache sana hata inaweza ikawa hakuna

Popote pale lazima uwe kuna mtu una muamini na unamatarajio yeyote na chochote kutoka kwake
Tatizo linakuja,wapo walioaminiwa na mwishowe wakakugeuka.
 
Mimi mwenyewe sijiamini hivyo...naanzaje kumuamini kiumbe mwingine namna hio
 
Labda muwe na beef. Lakini kawaida tu hapo mshikaji wako wa job mbona anafanya hivyo au mi nafanya.

Huku kazini tunaachiana username na password na mtu una access mpka account za Mo Dewji, lakini mwana unampa anapiga kazi maisha yanaendelea.
Hio ni coincidence inatokea tu, mara nyingine inakubidi u risk 100% ya maisha yako ili tu ufanikishe purpose flani.

Its in a couple of minutes una risk mna close deal.
 
Watu wanajifariji tu walioweza kuziondoa kabisa Expectations kwenye maisha yao ni wa chache sana hata inaweza ikawa hakuna

Popote pale lazima uwe kuna mtu una muamini na unamatarajio yeyote na chochote kutoka kwake
Huwezi kukwepa kuwa na Expectations kwa action yeyote unayoifanya ilihali ukiwa una akili timamu na saikolojia yako iko sawa. Unless uwe unaishi bila purpose yeyote maishani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…