Uaminifu uliotukuka

Asemaye anampenda Mungu Hali jirani yake anamchukia huyo Ni mwongo Wala kweli haimo ndani yake.

Ila hapa nadhani swala Sio upendo Bali Ni uaminifu,yawezekana tunawapenda kwa asilimia zote lakini tunaweza tusiwaamini kwa kiwango hichohicho.

Uko sahihi, kumpenda mtu na kumwamini ni vitu tofauti japo vinahusiana.
 
Asemaye anampenda Mungu Hali jirani yake anamchukia huyo Ni mwongo Wala kweli haimo ndani yake.

Ila hapa nadhani swala Sio upendo Bali Ni uaminifu,yawezekana tunawapenda kwa asilimia zote lakini tunaweza tusiwaamini kwa kiwango hichohicho.

Kwahiyo unataka kunijulisha kuwa hakuna uhusiano kabisa kati ya Uaminifu na upendo mimi naona kama vinafanya kazia pamoja hivi kwa mbali au nakosea
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sijui nicheke
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sijui nicheke

Cheka tu mkuu, kwa sasa haina madhara.
Ila nakumbuka siku ile sikuweza hata kuhema, kuna vimate vilainiiii ndio vilikua vinachuruzika mdomoni.

Usiku niliamka kuona kama niko hai au nimeshahamia dunia nyingine.
 
Hee hata hospitali hukwenda?

Hakuna damu ilionekana kwa nje, maumivu na uharibifu ulikua ndani kwa ndani. Nilikunywa dawa za maumivu tu...huku kimoyo moyo naimba ukizaliwa mwanaumee matesooo matesooo

Ilikua wakati wa likizo nikaamua kubaki shule kidato cha nne kujiweka sawa na maandalizi ya mitihani ndio kupatwa na huo mkasa.

Mwamini Mungu tu.
 
Duh[emoji25]
 
Chaaaah pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…