Uaminifu (100%) ktk ndoa inawezekana?

Huyu jamaa anazungumzia wale niliwapeleka kwenye ubarikio juzi kati....

ata mimi nilijua ivo
i trust u
najua kabisa huwez fanya km wao
yan we mwaminifu sjapata ona thats y nakupeeeeeeeeeeenda mpk kizunguzungu jaman mweeeeeeeeeeeeeee wap ambulance mi hoi juu ya huba..huba lisilochakachuliwa na nyumba mbovu ndogo ..!!!!!!
baba gft upo?...tangulia makaburini nakuja na sanda kukuzika....!!!!!!!
 
Hebu angalia hii movie then utaelewa baadhi ya sababu zinazowafanya wanaume watoke nje ya ndoa zao. " I THINK I LOVE MY WIFE" Directed by Chris Rock. Starring Chris Rock, Kerry Washington, Gina Torres
iyo naijua..ebu mnielewe jaman...SIJASEMA WATU WOOOOOOOOOTE WAAMINIFU
MINIMESEMA KUNA WACHACHE WAPO WAAMINIFU
si kwamba nakataa watu si waaaminifu apana najua watu wanafanya nje
nanajua sababu znazofanya wapenz kutoka nje
bt STL KUNA MALAIKA WAPO HAWATOK NJE...
 
@Kahamba, I believe kuna waaminifu 100%, uaminifu inawezekana iwapo mtu unampenda kweli mwenzio you will never try to hurt her/him, if you dont love her/him then you can cheat on them.Mbona wenzetu weupe asilimia kubwa ni waminifu? why not us?:smile-big: UAMINIFU INAWEZEKANA NA WAPO WAAMINIFU
 
@Kahamba, I believe kuna waaminifu 100%, uaminifu inawezekana iwapo mtu unampenda kweli mwenzio you will never try to hurt her/him, if you dont love her/him then you can cheat on them.Mbona wenzetu weupe asilimia kubwa ni waminifu? why not us?:smile-big: UAMINIFU INAWEZEKANA NA WAPO WAAMINIFU
thak u
thak
thak u
tell em tel em
nidai naniii i mean biscuit kwa kunsaidia kuwaambia ukweli
i stl blv kuna watu waaminifu
 
Wanawake wakianza kuvaa baibui na kuacha kuvaa vimini na tight trousers basi wanaume wengi hawatashawishika kirahisi kuchapa out
Wanaume wakijishughulisha saana katika kutafuta mshiko na kufanya mazoezi ya kutosha badala ya kukaa bar na kutandika kilaji baasi wanawake wengi hawata washawishi kirahisi

hapo kwenye blue, nenda zenji ukaone vituko. Jamaa alishawahi kukutana na mwanamke ktk corridor za guest amevaa buibui akitoka kushughulika na mzinzi wake na hakumwelewa ni nani ila mwanamke alimwelewa mumewe.
buibui ikivaliwa moyoni, ndoa inapona.

kwa sasa ni vigumu maana watu wanaiga almost everything and they are too materialistic.
 
WANAUME WANAONGOZA KWA KUTOKUWA WAAMINIFU WAO NDIO HUTONGOZA:smile-big:
 
I dont think you are one of them, BONDENI HOTELI imekuharibu

:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
:nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono:
 
:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
:nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono:

do u trust me hny?i ges yeeees
awa warukaji achana nao
 
Mkuu unaweza kutoa mchanganuo? I mean wanaume vs wanawake....
Nadhani kwa wanawake uwezekano wa kutii kiapo cha ndoa ni mkubwa kuliko wanaume...

Mkuu Roya^2

Wanawake ni wasiri saaaaaaana na ni wavumulivu saaaana, na ndiyo maana mara nyingi inaonekana kwenye ndoa wanaume kwa % ndiyo "wakosaji". Ukichukulia Scenario ya kawaida ya maisha ya ndoa mwanamke wakati wote huwa anakuwa sehemu ambayo ni "trusted zone". Ni nadra sana mwanaume kuwahi kurudi nyumbani kabla ya mke wake. Hata kama kuna tatizo nyumbani kwao au kwa jamaa zao lazima atakushirikisha kwa kiasi kikubwa kuhakikisha kuwa unajenga "trust" ya mahali alipo na anachokifanya!


Nimeshuhudia wanaume wanawapeleka wake zo "sokoni", "saluni", "shopping malls", "darasani", kwenye "misiba" e.t.c. Na baada ya kuwafikisha wanaume out of that "trust" unakuta wanawaambia nitakupitia baadaye kuna sehemu naenda! Mwanaume anawasha gari anatafuta bar ya jirani anapata moja baridi, mbili, tatu, e.t.c
.

Baada ya muda "nipo tayari dear", mwanaume anajibu namalizia bia yangu! Give me 20minutes! The "trust"! ipo kwahiyo 20 minutes can be 30minutes e.t.c. baada ya hapo unampitia kuelekea destination of your choice, si lazima nyumbani. Then life goes on.


Have you ever wondered, kwa nini mwanamke anaishi Kigamboni anaenda Saluni Kinondoni? Anaishi Tegeta anafanya manunuzi ya nyanya na vitunguu Kisutu? Na mara zote wewe mwanamume ndiye unayemsindikiza na kumsubiri? tena wakati mwingine kama yupo mitaa ya Kinondoni saluni anaondoka na gari anakuacha baa ya jirani unapata bia!


Well hebu niishie hapa kwa leo!

Wakatabahu!
 
Back
Top Bottom