Uaminifu (100%) ktk ndoa inawezekana?

Hmmmm.....JF bana....mtu unapigwa madongo hivi hivi....asante kama ni mimi.

Hahahahaha NN .............you are saint my dia believe me at least to me yo are.........

Roya bby..am sorry I hv to baptise you my Troy......(from Why did I get Married I & II) ...... .......... Wapi Mama Rose wa ukwe......e
 
Eeeh....mara yamekuwa hayo!!
 
Wifi we acha tu............life is so good........ Hivi Troy umemwona wapi vile ? hahahaha Smiles mzima ndugu yangu?

Mi mzima sweetness....but usimuache my saint jamani!! amekuwa Troy tena....?
I think Roya Roy suits him better....:becky::becky:
 
Mi mzima sweetness....but usimuache my saint jamani!! amekuwa Troy tena....?
I think Roya Roy suits him better....:becky::becky:

Smiles mh mh mh ......yeah Roya sounds better but My Troy sounds the best.......................... (Hivi Babu Achipirin sijui yu wapi lol)

Tonka Toy sounds better, I think....:smile-big:

Aksante NN for Backing me up................. I feel like I heard Tonka............. whose that my bro??
 
100% posible. Na hii ndiyo design ya mwanzo ya ndoa aliyoweka Mungu. Wale wanaochagua miili yao kuitawala akili na siyo akili kuutawala mwili hawawezi. Maana asili ya mwili ni kuwaka tamaa na kutoridhika lakini Mungu amekupatia akili ya kuchagua jema na kuuadibisha mwili ufuate uamuzi wako wa busara.

Kutawaliwa na mwili ama mazingira (eti wanavaa nusu uchi, eti kila mtu anafanya) ni kudhalilisha uwezo wa akili yako kuamua kufanya yaliyo mema. Akili ndio inayoleta utu, akili yako ikitawaliwa na utu wako umetawaliwa na unakuwa mtumwa wa mwili ama mazingira.

Acheni akili iamue jambo jema na mwili ufuate maamuzi ya akili uone nani atashindwa kuwa mwaminifu.
 
Back
Top Bottom