Ualimu ni kazi ngumu jamani!!

Joined
Dec 11, 2010
Messages
3,324
Points
0
Joined Dec 11, 2010
3,324 0
Kazi nyepesi ni kuingia na kutoka benki kuweka na kutoa heshima kwa njia ya makaratasi yenye laana (mwanaharamu) huku wahudumu wakikuona wanakenua meno na heshima nyingi kuwaomba kufanya hivyo.
 

Forum statistics

Threads 1,390,629
Members 528,220
Posts 34,056,960
Top