chichimizi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,074
- 339
Nimerekebisha hapo badala ya nje nikaandika ndaniDu cool down! usiwe kama unakimbizwa...taratibu soma mwenyewe ulichoandika kama unakielewa..!halafu ndo ufafanue nini unataka kuleta kwa adhira
No mkuu mm shule niliyopangiwa ipo nyuma ya NMBChimizi leo upo hewan hope umekuja town!
Kama huelewi ujuee haikuhusu.Yaani watu wengine bana, sasa unaandika utafikir wote tunaelewa ulichonacho kichwan,heading ni tofauti na unachokisema ndan ,JIPANGE MKUU
Teh,mkuu ulikwangua yote ya mwez ulopita.Kila ukichungulia kupitia nmb mobile unaambiwa SALIO LAKO HALITOSHELEZI ha ha ha ha.