issa ramadhani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 1,319
- 260
kiukweli kutoka moyoni napenda kuwa mwalimu,kwanza ni watu wenye maadili pia ni watu wazuri sana katika kutoa maamuzi.ni watu ambao wanaongozwa na busara kuanzia kwenye akili zao na hata mavazi na nyendo zao ni za kibusara.ni watu ambao ni ngumu sana kuingia kwenye vishawishi japokuwa wapo wachache kama pombe,madawa ya kulevya na kuingia kwenye majumba ya starehe.ni watu ambao wanamifumo mizuri sana ya uendeshaji wa ndoa na familia zao.ni watu ambao wanajua kutumia njia mbadala baada ya kuona kama wamepatwa na matatizo.wamejengewa roho ya uvumilivu na ustahimilivu katika nyoyo zao.ni watu wasiopenda ugomvi,bifu na kuchukiana pasipo sababu.ni watu wasio na tamaa za kijinga wala wivu wa kijinga kijinga.wanauwezo wa kuishi mahali popote.wanauwezo wa kuishi na mtu wa aina yoyote ile.ni watu ambao wametengenezwa wasiokuwa na mawazo.ni watu ambao vifo vyao wamepangiwa kwenda peponi moja kwa moja.

Hata doctors nao huwa wanasema haya.wewe kama umeridhika na taaluma yako tulia, usitake kupata huruma ya watu ili uonekane ni mtu mwema sana katika huu ulimwengu.
Kiukweli kutoka moyoni napenda kuwa mwalimu, kwanza ni watu wenye maadili pia ni watu wazuri sana katika kutoa maamuzi, ni watu ambao wwa waanaongozwa na busara kuanzia kwenye akili zao na hata mavazi na nyendo zao ni za kibusara. Ni watu ambao ni ngumu sana kuingia kwenye vishawishi japokupo wachache kama pombe, madawa ya kulevya na kuingia kwenye majumba ya starehe.Ni watu ambao wanamifumo mizuri sana ya uendeshaji wa Ndoa na familia zao.ni watu ambao wanajua kutumia njia mbadala baada ya kuona kama wamepatwa na matatizo wamejengewa roho ya uvumilivu na ustahimilivu katika nyoyo zao.ni watu wasiopenda ugomvi,bifu na kuchukiana pasipo sababu.Ni watu wasio na tamaa za kijinga wala wivu wa kijinga kijinga.wanauwezo wa kuishi mahali popote.wanauwezo wa kuishi na mtu wa aina yoyote ile.ni watu ambao wametengenezwa wasiokuwa na mawazo ni watu ambao vifo vyao wamepangiwa kwenda peponi moja kwa moja.
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=8060
thanks susuviri for the info.