Wananizungusha tuu mara tupo kwenye process za mwisho yani kila day saundi ***** zaoHizo sound unazopewa ni zipi hadi ulegee hivyo?
Hata mm nimepitia changamoto kama yako, ungeenda Utumishi tu Dodoma huenda kuna taarifa haijakamilishwa na halmashauri
Ok nashukuru kwa ushauri nduguHata mm nimepitia changamoto kama yako, ungeenda Utumishi tu Dodoma huenda kuna taarifa haijakamilishwa na halmashauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Yangu haitopigwa wataitoaHizo walimu wengi huwa hawapati never utazungushwa hadi itachoka.Hizo pesa huwa zinapigwa na halmashauri
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji419][emoji419][emoji419]Asante ndugu kwa ushauriNenda kaonane na mkurugenzi wako...kuwa na msimamo kuwa unafanya kazi hata pesa ya kujikimu hauna....wakupe muda urudi nyumbani mpaka watakapotimiza maslahi yako....hata ikipita miezi mitatu....ukiendelea kujitolea hivyo hutapata kitu....na hata wakikupa maneno ya wewe fanya kazi tu shikilia msimamo[emoji1614]