Amina Thomas JF-Expert Member Joined Mar 9, 2008 Posts 272 Reaction score 130 Aug 2, 2012 #1 Mwalimu aliachia ushuzi darasani. Wanafunzi wakacheka sana. Kwa aibu mwalimu akachukua likizo ya wiki ili kupoteza so. Aliporudi akawauliza watoto, haya watoto hivi tuliishia wapi? Wakajibu tuliishia pale ulipojamba!
Mwalimu aliachia ushuzi darasani. Wanafunzi wakacheka sana. Kwa aibu mwalimu akachukua likizo ya wiki ili kupoteza so. Aliporudi akawauliza watoto, haya watoto hivi tuliishia wapi? Wakajibu tuliishia pale ulipojamba!
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,373 Aug 2, 2012 #2 lol! mwalim lazima awe mnyonge
Asulo JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 719 Reaction score 252 Aug 2, 2012 #3 Mwl ataomba likizo ya mwezi ili watoto wasahau kabisa