Uagizaji Gari-Exemtion ya Kodi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uagizaji Gari-Exemtion ya Kodi

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Lawkeys, Apr 26, 2012.

 1. Lawkeys

  Lawkeys JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 1,110
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Salaam!

  Ninampango wa kuagiza gari ya kwanza kutoka nje ya nchi.

  Nimfanyakazi wa serikali na ninajua kwamba kuna exemption ya kodi kwa wafanyakazi wa serikali.

  Kwa anayefahamu habari ya exemtion naomba anijulishe yafuatayo:

  (1) Exemption inahusisha kodi gani"
  (2) Taratibu za kuomba exemtion;
  (3) Makadirio ya muda process nzima inaochukua; na
  (4) Ushauri mwingine wowote wa muhimu katika hili.

  Natanguliza shukrani.

  Asanteni
  LawKeys
   
 2. m

  mkweli1961 Senior Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 148
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Waone tax consultants
   
Loading...