Explainer
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 517
- 509
kama uwezi kufuata hayo masharti, usiende ulaya!Huwezi kumzuia mtu na imani yake ,
kama uwezi kufuata hayo masharti, usiende ulaya!Huwezi kumzuia mtu na imani yake ,
Ni kweli hata maaskofu nao wamekopy toka enzi za kifalme za Roma. Mavazi ya Katoriki kwa kiasi kikubwa yanaashiriai tamaduni za vatican na siyo utakatifu.Usisahau maaskofu nao huvaa kazu Sasa sijui Na hao wanaigiliza utamaduni wa Kiarabu.
Kwa jibu la nyongeza Mh Mudawote
Dini za Kiislam Na Kikiresto zimetokea mashariki ya kati Kwa hivyo ukiwa muumuni hasa wa dini ya Kiislam utamaduni unachangia sana.Kwa heshima ya kazu Na balaghashia huwezi kumkuta mtu kavaa kwenye Mabaa Au Madisco.