UAE: Msivae kanzu na hijab nje ya nchi

Status
Not open for further replies.

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,779

hijab.jpg

Muungano wa milki za Kiarabu, ya Imarati, umewaonya raia wake waepuke kuvaa mavazi ya kiasili wanapokuwa nchi za nje.

Ilani hiyo imetolewa baada ya mfanyabiashara wa Imarati, aliyevaa kanzu nyeupe na kashda, alipovamia, kuangushwa chini, na kukamatwa na polisi wa Marekani katika jimbo la Ohio.

Karani mmoja wa hoteli alimshuku kuwa gaidi.

Imarati pia imewaonya wanawake wasijifunike nyuso zao katika nchi za Ulaya, ambako mavazi hayo yanakatazwa.

Chanzo: BBC Swahili
 
UAE 'Msivae kanzu na hijab nje ya nchi'

Saa moja iliyopita

Mshirikishe mwenzako

Image copyrightGETTYImage captionUAE 'Msivae kanzu na hijab nje ya nchi'

Muungano wa milki za Kiarabu, ya Imarati, umewaonya raia wake waepuke kuvaa mavazi ya kiasili wanapokuwa nchi za nje.

Ilani hiyo imetolewa baada ya mfanyabiashara wa Imarati, aliyevaa kanzu nyeupe na kashda, alipovamia, kuangushwa chini, na kukamatwa na polisi wa Marekani katika jimbo la Ohio.

Image copyrightGETTYImage captionImarati pia imewaonya wanawake wasijifunike nyuso zao katika nchi za Ulaya zinazopinga mavazi hayo

Karani mmoja wa hoteli alimshuku kuwa gaidi.

Imarati pia imewaonya wanawake wasijifunike nyuso zao katika nchi za Ulaya, ambako mavazi hayo yanakatazwa.

Mshirikishe mwenzako Unavyoweza kumshirikisha mwenzako

Chanzo bbc swahili.
Mambo ya ajabu sana haya. Mavazi ya heshma yaliyokuwa yanavaliwa hata na mituwe wetu enzi hizo yanakatazwa na badala yake mavazi ya kihuni ya robo tatu uchi ndo yanapewa nafasi, mashoga wanaonekana wapo sahihi kwa wanachokifanya innalilah wa innalihaih rajiuun.
 
Hayo mavazi ni ya asili haijalishi ni wakristo au dini nyengine wote wanavaa. Hao wanaojiripua huko nchi za ulaya wote wanavaa suruali na T-shirt. Ukiona watu wanavaa kanzu haimaanishi kua ni waislamu hata Raisi wetu alivaa hivi karibuni. Hapa kwetu pia hizo suruali, kanzu na suti hazikuwapo zimekuja baadae. Wao wametoa tahadhari kwa usalama wa raia wao watu wanashabikia udini hapa.
 
Vazi la heshma km lile lapigwa vita la nini???? Wapumbavu na mashoga wa humu ndo watashangilia
 
Mwenye kusudi la ugaidi hawezi kuweka wazi, vitu vitavyomfanya afuatiliwe, naona kama ndiyo wanachochea ugaidi. Ugaidi chanzo chake ni unyonge.
 
Phuck asshole

Muungano wa milki za Kiarabu, ya Imarati, umewaonya raia wake waepuke kuvaa mavazi ya kiasili wanapokuwa nchi za nje.

Ilani hiyo imetolewa baada ya mfanyabiashara wa Imarati, aliyevaa kanzu nyeupe na kashda, alipovamia, kuangushwa chini, na kukamatwa na polisi wa Marekani katika jimbo la ohio

Sasa mkuu @mavindozi unamwaga matusi humu kwa wadau ilhal hao wenye watu wao waliofanyiwa hayo matendo wamejibu kwa busara bila hata lawama yoyote kuwaje wewe mmatumbi mwenzetu unawatetea hata kufikia kututusi sisi weusi wenzako?uu mwarabu mweusi wewe?hao unaowatetea ukiwa kwenye anga zao wanakuona mbwa tu tena mbwa ana thamani kubwa kuliko wewe...mwarabu msikie tu ukitaka kuamini wale unaowaona K/koo tunaowaita waarabu koko angalia jeuri zao zilivyo utaelewa what I mean na hivyo hawapo kwenye ardhi yao je wakiwa kwao inakuwaje.ficha mahaba yako heshimu u-Afrika wako pia uwe na busara sio wewe unaejua kutukana tu hata wengine tunaweza kutukana but tunajua wote tukitukanana humu haitakuwa na maana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom