UAE: Msivae kanzu na hijab nje ya nchi

Status
Not open for further replies.
Binafsi nmeipenda sna hyo japo kwa mtazamo tofauti kikubwa kinachotakiwa wakija kwetu pia marufuku kuvaa vichupi vyao na kutukalia uchi
 
Unajua Tz kuna watu wanadhani vazi la wanaume au wanawake la kiarabu linaashiria utakatifu, kumbe ni vazi la kitamaduni, linatukuza utamaduni wa waarabu. Sasa linapopigwa marufuku msitokwe mapovu!
Watu wamekamatwa na tamaduni wanataka mpaka kujichubua kuisaka rangi ya mtume na kalikiti my God.
Wengine naona wanabadilisha ranhi za ndevu jamani uwiiiik
 
Vazi la heshma km lile lapigwa vita la nini???? Wapumbavu na mashoga wa humu ndo watashangilia

Najua kwa nini unalitetea vazi hilo,Maana kuna wengi sana wanalitumia kwenda kwa mchepuo na kuwapelekea chakula michepuko yao wanajificha humo bila kuonekana.Kwa vyovyote ninyi wakongwe wa michepuko mtalifurahia sana
 
Unajua Tz kuna watu wanadhani vazi la wanaume au wanawake la kiarabu linaashiria utakatifu, kumbe ni vazi la kitamaduni, linatukuza utamaduni wa waarabu. Sasa linapopigwa marufuku msitokwe mapovu!
Wewe hutokwi na Povu ila hujui maana ya Utamaduni. Dini ni Utamaduni
Hakuna Gaidi aliejilipua Ulaya akiwa kavaa Nikab au Kanzu.
Eti mwanaume Kulawitiwa ni haki yake ya msingi na itambuliwe na tusiwasakame na tuwaombe radhi ila hawataki kutambua haki ya Mtu kujistiri
 
2016-07-03 21.55.06.png
2016-07-03 21.54.25.png
2016-07-03 21.53.58.png
2016-07-03 21.53.32.png
2016-07-03 21.53.01.png
Vazi la heshma km lile lapigwa vita la nini???? Wapumbavu na mashoga wa humu ndo watashangilia
cheseya vazi la heshima wewe. Ila kwa unafiki tu hawa watu hawajambo. Ndio maana nampenda sana Yesu (sio isa wenu) kasema ni heri uwe moto ama baridi kuliko vuguvugu
 
Unajua maana ya utamaduni?we kihio kwel
mitume enzi zao hawakuvaa kanzu,walivaa mishipi ya magome ya mitende na ngozi ya ngamia! Kazu hizi nizawaarabu akina sayyid bin sultan,ndio mwanzo wake kuja uku pwano!Kanzu ni utamaduni wa waarabu halina uhusiano wa moja kwa moja na uislam,sema tu ni vazi la staha hata mapadri wanavaa,waganga wa kienyeji,wahaya nk!kwa iyo ni inshu ya utamaduni tu apa
 
Watu wamekamatwa na tamaduni wanataka mpaka kujichubua kuisaka rangi ya mtume na kalikiti my God.
Wengine naona wanabadilisha ranhi za ndevu jamani uwiiiik
Wanapaka lips shedo kwa mbaali,hina kwy nywele,na ndevu km akina mond!hua sielewagi waakataa nini na wanafanya nini
 
mitume enzi zao hawakuvaa kanzu,walivaa mishipi ya magome ya mitende na ngozi ya ngamia! Kazu hizi nizawaarabu akina sayyid bin sultan,ndio mwanzo wake kuja uku pwano!Kanzu ni utamaduni wa waarabu halina uhusiano wa moja kwa moja na uislam,sema tu ni vazi la staha hata mapadri wanavaa,waganga wa kienyeji,wahaya nk!kwa iyo ni inshu ya utamaduni tu apa
yani ww unajifanya unaujua uislamu kuliko waislamu!! pole sana sijui hata nikusaidie vp
 
Kuvaa Kanzu Ni Sunnah? Mtume (Swalla Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam) Alikuwa Akivaa Mavazi Gani?
Sunnah-Hadiyth
SWALI:
Assalam aleykum sheikh wangu.. swali langu la leo naomba unitowe dukuduku langu.. je..! huku kuvaa kanzu ni sunna au ni vazi tu kama ilvyo mavazi mengine? Na je mtume s.a.w alikuwa akivaa mavazi gani? Shukraani nategemea kupata jibu litakalo niridhisha.. Wabillah taufiki..
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Kwanza kabla hatujajibu swali lako, tunakukumbusha kuwa unapoandika jina la Allaah au Mtume, usifupishe mbele yake kwa kuweka (S.W.) au (S.A.W.) kama ilivyozoelekea na wengi, bali andika kwa kirefu maneno hayo bila ya kuyafupisha. Andika (Subhaanahu wa Ta’ala) baada ya kumtaja Allaah, na andika Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) au (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) baada ya kumtaja Mtume. Hivyo ndivyo inavyopaswa, na ndio heshima zaidi na utukufu na ndivyo inavyotamkwa na si
kama inavyofupishwa na wengi kimazoea
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu mavazi ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam). Inafahamika vyema kwa kila mmoja wetu Muislamu na asiyekuwa Muislamu kuwa Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) asili yake alikuwa Mwarabu. Katika maisha yake aliishi (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) katika mazingira ya Kiarabu na vazi lake
lilikuwa hilo.
Kwa kulichukua kubaki vazi la kanzu kuwa ni vazi lake baada ya kupatiwa utume ni dalili tosha kuwa kuvaa vazi hilo ni kumuiga Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa
sallam) na hivyo kuingia katika Sunnah. Kwa muhtasari ni kuwa Sunnah ni kauli, vitendo na iqrari ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa
sallam). Kwa kuwa alivaa na hakukanya wafuasi wake kuvaa ikaingia hiyo katika Sunnah zake. Kwani ni wazi kuwa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alikuwa haachi jambo ambalo si zuri kuendelea katika wafuasi wake.
Mbali na kusema hayo, Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa
sallam) kuusahilishia Ummah wake katika mambo mengi na mavazi vile vile alikuwa na mavazi tofauti kama zinavyotueleza Hadiyth zake nyingi. Wakati mwengine alikuwa anavaa ‘Imaamah (kilemba), ‘Izaar (nguo ya chini kama kikoi), kofia, aina nyengine za nguo za kutoka Shaam,
Yemen, na hata Misri na kadhalika. Na katika mavazi alikuwa anapenda sana kuvaa vazi la rangi nyeupe.
Baadhi ya Hadiyth zinazoelezea hayo ni:
§ Imepokewa kwa Ibn ‘Abbaas (Radhiya Allaahu ‘anhuma) kwamba Mtume wa Allaah
(Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam)
amesema: “ Vaeni katika nguo zenu nyeupe, kwani hizo ni katika nguo zenu zilizo bora kabisa na pia muwakafini nazo maiti zenu ” (Abu Daawuud na at-Tirmidhiy, na akasema ni
Hadith Hasan Swahiuh. Isnadi yake ni Sahihi na ameisahihisha Ibn Hibbaan).
§ Na amesema Abu Ramthah Rifaa‘ah at-Taymiy (Radhiya Allaahu ‘anhu):
Nilimuona Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa
sallam) akiwa na nguo mbili za kijani (Abu Daawuud na at-Tirmidhiy kwa Isnadi iliyo Sahihi. Pia imenukuliwa na an-Nasaa’iy, na Isnadi yake ni Sahihi).
§ Na imepokewa kwa Jaabir (Radhiya Allaahu ‘anhuma)
kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) aliingia siku ya kufunguliwa Makkah akiwa na kilemba cheusi (Muslim).
§ Na amesema mama wa Waumini ‘Aaishah (Radhiya Allaahu ‘anha):
Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa
sallam) amevishwa sanda ya nguo tatu nyeupe zilizotengenezwa Sahuuliyyah (aina ya nguo kutoka kijiji hicho cha
Yemen) kwa pamba, katika hizo hamna kanzu wala kilemba
(Ahmad, al-Bukhaariy na Muslim).
§ Na amesema Mughiyrah bin Shu‘bah (Radhiya Allaahu ‘anhu) kwamba: Usiku mmoja tulikuwa katika safari pamoja na Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa
sallam) …Wakati huo alikuwa amevaa juba la sufi na hivyo hakuweza kutoa mikono yake mpaka alipoitoa kutoka katika sehemu ya chini ya hilo juba. Aliosha mikono yake na kupangusa kichwa chake. Kisha nilitaka kumsaidia ili atoe soksi zake, akaniambia: “Ziache kama zilivyo kwani nilizivaa nikiwa katika hali ya twahara na usafi”. Hivyo akapangusa juu yake (al-Bukhaariy na Muslim). Na katika riwaya:
Alikuwa amevaa juba la Shaam lililokuwa na mikono membamba .
§ Amesema Ummu Salamah (Radhiya Allaahu ‘anha):
Ilikuwa nguo bora kwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) ni kanzu (Abu Daawuud na at-Tirmidhiy, na akasema hii ni
Hadyith Hasan).
§ Na imepokewa kwa Ibn ‘Umar (Radhiya Allaahu ‘anhuma) kwamba Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “ Allaah Hatawaangalia wale watu walioburuza (zikavuka mafundo ya miguu) nguo zao
kama kikoi na kanzu na kilemba kwa kiburi ” (Abu Daawuud na an-Nasaa’y kwa Isnadi Sahihi).
§ Na imepokewa kwa Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ‘anhu) kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “ Allaah Hamuangalii mwenye kuburuza (kuvaa nguo yenye kuvuka mafundo ya miguu [Isbaal]) nguo yake kwa kiburi ” (al-Bukhaariy, Muslim na Maalik).
Kwa mujibu wa Hadiyth hizi tunapata kuwa vazi bora lake ni kanzu mbali na kuwa alikuwa akivaa mavazi mengine. Kulingana na Hadiyth wanazuoni wamekuja na masharti kwa vazi kukubalika Kiislamu. Miongoni mwa masharti hayo ni:
i. Vazi lisiwe ni lenye kubana.
ii. Vazi lisiwe ni la kuonyesha ndani.
iii.
Kutoburuza nguo aina yoyote kwa mwanamme [Isbaal - kuvuka mafundo ya miguu].
iv. Kutosifu umbile lake (lisimbane).
v.
Lisifanane na vazi la kike.
vi.
Lisifanane na vazi la makafiri.
vii. Lisiwe vazi la kifakhari, umaarufu, na mitindo [fashion].
 
..cha ubishi nadhani umeelewa sasa
 
Na wao wapige marufuku wazungu wanaotembea na chupi makwao. Yaani nchi za magharibi ni za ajabu sana, yaani kama ingetokea ni raia wa marekani ndio amefanyiwa hivyo wangeanza kushika mabango ya haki za binadamu.
 
yani ww unajifanya unaujua uislamu kuliko waislamu!! pole sana sijui hata nikusaidie vp
Historia km imekosewa hana shida!Tatizo lako una mihemko ya kidini sana.Popote ukitajwa uislam we kunipanic etc hatuendi ivyo kubali kukubaliana
 
.. cheseya vazi la heshima wewe. Ila kwa unafiki tu hawa watu hawajambo. Ndio maana nampenda sana Yesu (sio isa wenu) kasema ni heri uwe moto ama baridi kuliko vuguvugu
Mama yake Yesu alikuwa anavaa vazi la aina ipi?
Yesu je alikuwa anavaa vazi la aina ipi?
 
msimdoee Yesu wetu nyie. Yani dini yenu haiwez kujitetea bila ukristo. Komaen na muarab wenu
Huna majibu? Picha je huna?
Huna picha ya mama yake Yesu?
Huna picha ya Yesu?
Ziweke tuone "mavazi yao ya heshima".
Nilifikiri unazungumzia vazi la heshima. au umeamua kuzungumzia kitu ingine?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom