Pinokyo Jujuman JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 552 Reaction score 105 Jun 21, 2012 #1 Habari; natafuta location ya UAE exchange kama wana branch yao kwa hapa Dar es salaam, kama kuna yeyote ujuaye ilipo naomba msaada anijuze nahitaji kutuma hela kwa mtu yupo Dubai. Aksante!!
Habari; natafuta location ya UAE exchange kama wana branch yao kwa hapa Dar es salaam, kama kuna yeyote ujuaye ilipo naomba msaada anijuze nahitaji kutuma hela kwa mtu yupo Dubai. Aksante!!