Nahitaji palving block used zenye hali nzuri kwa matumizi

Nahitaji palving block used zenye hali nzuri kwa matumizi

kikoozi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2015
Posts
2,175
Reaction score
3,221
Habari za uda huu ndugu zangu,

nina shinda na pelving block kwaajili ya kuweka nyumbani kwangu, nahitaji used kwaajili ya kupooza makali ya gharama maana mpya bei ipo juu sana,

kama nikipata zile ambazo kama zinawekwa kwenye barabara au viwandani nitashukuru sana eneo langu ni 270-SQURE METER,

napatikana kwa namba hii kwa mwenye nazo 0714739838 napatiakan KINYEREZI - DAR ES SALAAM

1.jpg
 
Back
Top Bottom