tete'a'tete
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 472
- 66
Ajabu, ni mmea common sana katika majumba yetu!
Luckily wakwetu ni wa plastic,toka China na sio Cameroon
mbona siuoni mazee? naona kuna ka x
NIMEPEWA HII TAARIFA...SIJUI NI KWELI??
This plant that we have in our homes and offices is extremely dangerous!
Mmea huu unapatikana kwa wingi nchini Cameroon hata hapa kwetu u\,kwenye ofisi na majumbani upo umewekwa kama ua.Ni sumu hasa kwa watoto,unaweza kumuua mtoto ndani ya dk 15 kama ameipeleka kinywani.Unatakiwa utolewe mara moja huko maofisini au majumbani.Uki ugusa usishike macho inaweza kukupa upofu.. Please mjulishe na mwingine.
huu hapa, hujambo lakini
umechangia JF?
unalipa bili ya internet kwa wakati?
una pc ya kileo au zile za msaada wa serikali?
hayo ni baadhi ya mambo yanayoweza kufanya usione picha .
tukirudi reverse kwenye mada. mimi nilizani huu mti ni mboga ya majani kumbe ni sumu? dah inasikitisha sana.inabidi tuhakikishe haubaki majumbani mwetu
NIMEPEWA HII TAARIFA...SIJUI NI KWELI??
This plant that we have in our homes and offices is extremely dangerous!
Mmea huu unapatikana kwa wingi nchini Cameroon hata hapa kwetu u\,kwenye ofisi na majumbani upo umewekwa kama ua.Ni sumu hasa kwa watoto,unaweza kumuua mtoto ndani ya dk 15 kama ameipeleka kinywani.Unatakiwa utolewe mara moja huko maofisini au majumbani.Uki ugusa usishike macho inaweza kukupa upofu.. Please mjulishe na mwingine.
NIMEPEWA HII TAARIFA...SIJUI NI KWELI??
This plant that we have in our homes and offices is extremely dangerous!
Mmea huu unapatikana kwa wingi nchini Cameroon hata hapa kwetu u\,kwenye ofisi na majumbani upo umewekwa kama ua.Ni sumu hasa kwa watoto,unaweza kumuua mtoto ndani ya dk 15 kama ameipeleka kinywani.Unatakiwa utolewe mara moja huko maofisini au majumbani.Uki ugusa usishike macho inaweza kukupa upofu.. Please mjulishe na mwingine.
Labda niombe aliye anzisha hii mada atwambie ametoa wapi hii maneno, was it scientifically researched to come to conclusion kwamba unaua?