Mwananchi huyu anaonekana alifurahi sana alipopata bahati ya kupiga picha na mkuu wa nchi nahisi siku hiyo kijijini uko aliko ndo ilikuwa habari kwa jamaa zake Mkuu vp akumtoa kidogo.....!!
Hivi viatu ebu ngoja kwanza nimtafute yule anaemuandalia mh hivi vitu nitalejea.....
View attachment 124585
mwananchi huyu anaonekana alifurahi sana alipopata bahati ya kupiga picha na mkuu wa nchi nahisi siku hiyo kijijini uko aliko ndo ilikuwa habari kwa jamaa zake mkuu vp akumtoa kidogo.....!!
naona ulipita kasi kdg hapa, angalia kwa undani na ufanye tafakuri tunduizi
Hivi viatu ebu ngoja kwanza nimtafute yule anaemuandalia mh hivi vitu nitalejea.....
View attachment 124585
viatu vya rais ni design gani?