Jamani binti mrembo uliyepo hapa arusha ni pm tafadhari upweke unanimaliza...nimehamia hapa kikazi na niko hotelini tu..karibu japo tubadilishane mawazo na kupata kinywaji kwa muda..ni hilo tu wana familia wa jf arusha.
Kuna dada mmoja anaweza kukusaidia, ngoja nimwite, sharti usiwe umefikia hoteli za uswahilini maana yeye matawi ya juu. Erotica , please rescue this lonely heart!
kuna dada mmoja anaweza kukusaidia, ngoja nimwite, sharti usiwe umefikia hoteli za uswahilini maana yeye matawi ya juu. erotica , please rescue this lonely heart!
reta vipi tena kashifa hizo?mi niko serious..na nimefikia hotel kubwa na ya hazi ya nyota kadhaa..sio mbabaishaji kabisa,nilitegemea humu na ndugu zangu wa jf watanielewa..leo nashida mmanitupa.nashukuru preta dunia duara lakini kumbuka.
reta vipi tena kashifa hizo?mi niko serious..na nimefikia hotel kubwa na ya hazi ya nyota kadhaa..sio mbabaishaji kabisa,nilitegemea humu na ndugu zangu wa jf watanielewa..leo nashida mmanitupa.nashukuru preta dunia duara lakini kumbuka.
Kuna dada mmoja anaweza kukusaidia, ngoja nimwite, sharti usiwe umefikia hoteli za uswahilini maana yeye matawi ya juu. Erotica , please rescue this lonely heart!
What do you mean Madamex? By the way, as far as I know Erotica (Leyla) isn't a professional receptionist! Leave her alone please! Ni my wife wangu, samahani sana MadameX