mangimweusi
Member
- Sep 14, 2018
- 51
- 38
Habar....wan jf naomba kujua dalili za u.t.i maan czan dushelele lang km lipo powa
Maumivu ya wapi?je uti husababishwa na ngono zembe?1. Haja ya kwenda choo kidogo huongezeka
2. Dalili za homa kwa mbali
3. Mkojo huwa na rangi ya mawingu, hauko clear na hutoa harufu.
4. Maunivu kabla na baada ya kukojoa
5. Mkojo kuwa na damu.
Anal sex ratherMaumivu ya wapi?je uti husababishwa na ngono zembe?
Normal sex does not cause if one is infected?Anal sex rather
Kuto kunywa maji mengi
Wagonjwa wanaolala muda mrefu bila kutembea
Kisukari
Because UTI is caused by friendly bacteria in the gut who happen to be unfriendly in the urinary system.Normal sex does not cause if one is infected?
How can anal cause UTI?
Habar....wan jf naomba kujua dalili za u.t.i maan czan dushelele lang km lipo powa
Iyo ipo aiseeDalili ya kwanza....Ukikojoa unahisi maumivu
Na day3 nazuga naumwa malaliaa...jioni barid nalala na nguoHaahaa kama umeoa ukapata UTI halafu mke wako hana,my friend utaeleza umepata wapi huo ugonjwa.....Mara nyingi huo ugonjwa huwapata wanawake sisi wanaume tunaupata kutoka kwao kwa sababu wao ni rahisi kuupata kutokana na nature ya maumbile yao
HaahaaaNa day3 nazuga naumwa malaliaa...jioni barid nalala na nguo
Ungepiga Azthromycine mg500 kwa siku 1 tu inakata next day unaongezea ya tatu unakula mzigoNa day3 nazuga naumwa malaliaa...jioni barid nalala na nguo
Shukurun mkuu jna nilienda nikapewa izo doxillin na ciprofloxacinUngepiga Azthromycine mg500 kwa siku 1 tu inakata next day unaongezea ya tatu unakula mzigo
Shukurun mkuu jna nilienda nikapewa izo doxillin na ciprofloxacin